Sasa kwanini Walimu wawachape?Raha ya disko kukumbatia na kukumbatiwa!!Duuuh mwalimu wenu alikuwa mkuda sanaNakumbuka kipindi hicho nasoma Nganza girls tukaenda Nsumba boys disco kulikuwa na mwalimu anatusindikiza anaingia disco hakuna kumsogelea mwanaume sasa mi si nikaona mwalimu yupo busy kule katikati mi nikasogea kwa Dj nilipata kiboko cha Uti wa mgongo sitasahau.
Jamaa sio kwamba walikua ni ma-hard cores, Bali walikuwa hawependi blues kwasababu walikua boys tuu.so mambo ya zero distance yalikuwa hayana nafasi zao ilikuwa ni Hiphop.Bila shaka hamtaki blues sbb mwajiona ni hard-Cores!!Ha ha ha ha ha ha
Labda aliogopa tungeambukizwa mimbaSasa kwanini Walimu wawachape?Raha ya disko kukumbatia na kukumbatiwa!!Duuuh mwalimu wenu alikuwa mkuda sana
Duuh hiyo shule balaa!!Mpaka HM ana beef na wanafunzi?Mimi ngoja nikumbushie
matukio kama yupo mwenye kuyajua haya tutakuwa tumesoma shule moja:
1. Maharage yanaburuzwa kutoka stoo na kumiminwa kwenye sufuria zilizo jikoni tayari, yakipanda yakashuka sufuria linaepuliwa yameiva hayo!
2. Mzee saidi anasonga ugali huku jasho kama mvua kutoka kwenye madevu yake likichuruzikia kwenye sufuria, na mwiko ukizungushwa mara tano tu sufuria lishawekwa chini umeiva huo.
3. Una bifu na mwenye zamu ya kugawa msosi siku hiyo anakupiga ubao (slesi) ya ugali na maharage mawili na juice (mchuzi wa maharage)
4. Inagongwa kengere ya kuchukua msosi unakumbana na sahani tupu, ikiwa imekumbwa na wazee wa midabo!
5. Headmaster anasimama mlangoni kuchagua wa kuingia disko kama una bifu naye huoni ndani hata kama una kiingilio!
6. New comers wote kufikishiwa toilet kwa maana ndio nyumba ya wageni ………
We acha tu mkuu, huyo alikuwa noumer akikumaind skuli unaiona jehenum!Duuh hiyo shule balaa!!Mpaka HM ana beef na wanafunzi?
bora sisi wa westlife kuna mtu kaja na za diamondWatu mnazungumzi madisko ya nyimbo za West life za jana!!?Wakati watu tumecheza nyimbo za OSS (Orchestra Safari Sound) na Mangelepaa!!!
Uko vzr ktk hiyo sectorwalikuwa wanafanyeje kwani?
Yaani madisco ya peke yenu yanakuaga fun sana! Kukiwa na boys full ufekiDaah nakumbuka kuna siku tulikuwa na disco LA wanaume tupu. Jamaa moja kapinda aliingia uchi halafu akaapanda juu ya meza ukumbi mzima tunamwona halafu akaanza kupiga mapanga ya TMK. Mkuu wa shule kuja aliishia kucheka tu.
Etii! Sisi disco mwalimu alikua haingii!!!Sasa kwanini Walimu wawachape?Raha ya disko kukumbatia na kukumbatiwa!!Duuuh mwalimu wenu alikuwa mkuda sana