Raha na Vioja vya disko na mikusanyiko ya kidini shule za bweni(Boarding Schools)

Raha na Vioja vya disko na mikusanyiko ya kidini shule za bweni(Boarding Schools)

Kuna kiongozi mmoja wa HUIMA alikuwa anaingia kwenye disco ana note majina ya member wake ili akawafukuze..anakuogelea karibu anakugusa ukigeuka kumwangalia hakwambii chochote zaid ya kukuandika kwa note book yake
 
ahahaaa hii kali
 
debe lilikuwa linafunguliwa na masocial prefect wa mashule husika
Acha kabisa,mara nyingi sector hiyo wanapewa wajanja wajanja wa dar! Disko likiisha unachukua bakuli lako unaenda dh mdogo mdogo kwa aibuuu kiana.
 
hapana mkuu, mi kipindi chetu kila disco lililofanyika pale shule nilihudhuria! wazee wa feedback walikuwa wanasimama karibu na mrango, sasa wamuone muumini mwenzao anaingia!!!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom