Raha, Tamu na chungu ya VPN

Raha, Tamu na chungu ya VPN

Screenshot_20201028-114533.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wenye iphone mnafayaje kupata apk za vpn wakuu ?? Kuingia google naingia fresh ila sipati apk za kupakua alfu pia apple store haifunguki.
 
apk means android package sasa kwenye ios unatafuta apk zipii??[emoji41][emoji41][emoji41] tuliwaambia mnunue tecno haya ona sasa
[emoji23][emoji23][emoji23]wenye Tecno zetu tuna jimwambafai
 
Back
Top Bottom