Raha, Tamu na chungu ya VPN

Raha, Tamu na chungu ya VPN

VPN bana [emoji1487][emoji23][emoji23][emoji23] nimetoka Hokkaido-Japan kwa sasa nipo Yeongam Gurim Village, South Korea [emoji2406]!!! [emoji350]
VPN zina kawaida ya kula data kuliko kawaida. Nadhani utakuwa umaliona hilo.
 
Lakini mnaweza kuyazoea haya maisha. China hayo ndo maisha tangu miaka mingi iliyopita, japo malengo yanaweza kuwa tofauti. Uchina wanafanya hivyo kwa lengo la kuchelewesha kasi ya mmarekani kuwadukua na pia kimaendeleo.
Tz mnajua wenyewe malengo yenu ni yapi.
 
VPN zina kawaida ya kula data kuliko kawaida. Nadhani utakuwa umaliona hilo.
Nakubaliana na wewe....
Chaji ya simu pia inakwenda kuluko kawaida..
Lakini hakuna shuda kwa sabumabu huwa natembelea USA, Canada,Uk na Germany through VPN....[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Trending story zangu youtube hata sizielewi,

sijui niko nchi gani yenye haya ma story yani,

TOP 5 yote naona mapicha picha tu sijui mann hata.

tre.png
 
Mbona zipo kabao tu mkuuView attachment 1614959
Hiyo hapo najiachia nayo
View attachment 1614960
Hapo chini nachagua tu
mkuu sio kwamba ios hakuna vpn zipo ila yeye alisema apk. yan ni sawa wewe unataka audio iwe kwenye format ya mp4.
sijui nielezee vipi.. ila ni kama app za whatsapp yaan kote android na ios zipo ila za android ndo zinaitwa apk (android package) za ios haziitw apk!
 
Back
Top Bottom