Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukisusa wenzio Twala yakheeeeeee!!!!View attachment 1263495
Raha ya kula mle pamoja, ikitokea kuna watakaoona mpishi analeta upendeleo, nyama amejaza upande wa wengine hatimae Mdude. Chakula hupoteza ladha.
Vitakukwama kwenye mapafu!Ukisusa wenzio Twala yakheeeeeee!!!!
Shida yako upakuliwe kwenye hilo li sahani mwenyew daah waroho utawajua tuTatizo hapo kuna watu midomo yao itakuwa ikiinamia jirani na masinia hivo chakula cha mdomoni kurudi tena kwenye masinia na pia kung'utia wali uliobakia mikononi back kwenye masinia.
Huyo alovaa jezi ya chelsea mbona kama kakabwa ubwabwaView attachment 1263495
Raha ya kula mle pamoja, ikitokea kuna watakaoona mpishi analeta upendeleo, nyama amejaza upande wa wengine hatimae Mdude. Chakula hupoteza ladha.
Ladha ya chakula haibadiliki wala hamu ya chakula haiondoki .View attachment 1263495L
Raha ya kula mle pamoja, ikitokea kuna watakaoona mpishi analeta upendeleo, nyama amejaza upande wa wengine hatimae Mdude. Chakula hupoteza ladha.
Mkila uyoga wa sumu sisi tunazika tu hatakama bado wa moto.Akisusa Sisi Twala yahee!
Kwani kachumbari ipoShida yako upakuliwe kwenye hilo li sahani mwenyew daah waroho utawajua tu
View attachment 1263495
Raha ya kula mle pamoja, ikitokea kuna watakaoona mpishi analeta upendeleo, nyama amejaza upande wa wengine hatimae Mdude. Chakula hupoteza ladha.
Mbona Mabeberu mnaowapenda hula peke yao?
😂😂😂😂halafu ulikuwa na ndizi mfukoniNimeona iyo picha nikakumbuka iyo siku niko kwenye sherehe tumeshajipanga tunasubiria sinia zishuke na pilipili ya kupikwa imeshaletwa afu tunaletewa taarifa msosi umeisha...noma sana