Raha ya chakula mle pamoja ukisusiwa chakula ladha pia hupotea

Raha ya chakula mle pamoja ukisusiwa chakula ladha pia hupotea

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
1573793226839.jpeg


Raha ya kula mle pamoja, ikitokea kuna watakaoona mpishi analeta upendeleo, nyama amejaza upande wa wengine hatimae Mdude. Chakula hupoteza ladha.
 
Mkisusia sie twala na kushiba shibe ya kishindo!
 
Nimeona iyo picha nikakumbuka iyo siku niko kwenye sherehe tumeshajipanga tunasubiria sinia zishuke na pilipili ya kupikwa imeshaletwa afu tunaletewa taarifa msosi umeisha...noma sana
😂😂😂😂halafu ulikuwa na ndizi mfukoni
 
Back
Top Bottom