Raha ya chakula mle pamoja ukisusiwa chakula ladha pia hupotea

Mkisusia sie twala na kushiba shibe ya kishindo!
 
Mdogo wangu alikuwa na tabia za kuzira,daah nilienjoy sana enzi hizoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nimeona iyo picha nikakumbuka iyo siku niko kwenye sherehe tumeshajipanga tunasubiria sinia zishuke na pilipili ya kupikwa imeshaletwa afu tunaletewa taarifa msosi umeisha...noma sana
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚halafu ulikuwa na ndizi mfukoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…