Modestproposal
Senior Member
- Jan 6, 2022
- 127
- 228
Nimeshangaa kuona wakenya waishio tz wanapiga kura,ila sisi ukitoka ulipojiandikishia tu huna chako! Ama kweli tunayo safari ndefu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tanzania tutailaumu tume ya uchaguzi bure tu. Tatizo unajiuliza nimkatae mgombea wa CCM nimpe nani ? Jibu linakuja hakuna. Maana upinzani wa nchi hii hata haueleweki. CCM itaongoza mpaka ichoke yenyeweTanzania ni ya mafedhuli. Nimeshuhudia kwa macho yangu CCM inawachangisha wauza gongo na dawa za kulevya, vibaka na matapeli wa Town kwa ajili ya kampeni zao za uchaguzi.
We fikiria kura za kizanzibari zilivyochakachuliwa bila ya aibu.
Wakenya hatuwawezi kwasababu wanakwenda shule. Tunahitaji miaka mingine 250 kuwafikia. Tanzania ni nchi ya vipofu
Kauli Rais ni Amri Tanzania sio Kenya. Wenzetu Mahakama ilizuia mchakato wa BBI kwamba haukufuata utaratibu japokuwa Rais ndo aliuanzisha. Sisi huku jambo akianzisha Rais tu polisi wanaanza kusimamia utazani ni sheria. Huu ujinga upo TZ tu.Unajidanganya mkuu.
Pale wote wanajua anayeshinda nani.
Kauli ya Rais ni kama amri na Tayari ameshachagua upande sasa sijui unadhani mshindi hafahamiki tayari.
Ujinga huu umebaki Tanganyika tu, nchi huongozwa kwa katiba sio kauli.Unajidanganya mkuu.
Pale wote wanajua anayeshinda nani.
Kauli ya Rais ni kama amri na Tayari ameshachagua upande sasa sijui unadhani mshindi hafahamiki tayari.
Hapa hakiongelewi chama kimoja, kinaongelewa USHINDANI wa vyama. Kule Kenya hatusikii kupita bila kupingwa, mawakala wa vyama kuzuiliwa, masanduku ya kura bandia, Polisi kujazana kwenye vituo vya kupigia kura kuisaidia forgery, waandishi wa habari huko wapo vituoni na wanaruhusiwa kupiga picha zoezi la kuhesabu kura linavyokwenda, kila kitu kiko wazi. Sasa Wewe unaleta hoja ya Chama tawala una maana gani?Tanzania Chama Tawala ni kimoja tu
Ningependa anijibu niliye muuliza sio wewe. Samahani kwa hilo.Kwa hiyo Tanzania ndiyo ina tume huru ya uchaguzi..! 🤣 🤣 🤣
Great 👍Ningependa anijibu niliye muuliza sio wewe. Samahani kwa hilo.
Nonsense.Kama hatuna uchaguzi basi hoja yako inakosa mashiko. Inabidi uanzishe hoja ya kutaka tuanze kufanya uchaguzi kwanza, then yatokanayo na huo uchagzi ndo yatafuata.
Hao watu wako wapi? Wangekuwa ni ndugu zako usingeongea hivyo au unafikiri hawana ndugu.Naona unaburudisha genge tu!
1. umeangalia kwenye katiba ya kenya ukaona mgombea uraisi anaruhusiwa kupiga kampeni miaka miwili + kabla ya uchaguzi?Kuna wakati chakura ukila peke Yako hakinogi. Hata mji wenye watu wa kabila Moja Huwa Hauna maendeleo. Chama Cha siasa au nchi inayoogopa ushindani wa kweli, haiwezi kufikia mafanikio Kwa wakati,
Kenya siasa imechangamka sana hakuna anayemuogopa mwenzake polisi hawaingilii siasa, wanawaaacha wamenyane kidume apatikane kwenye sanduku la kura.
Sijasikia vitisho vya ajabu ajabu. Ruto alianza kufanya mikutano yake nchi nzima mwaka Jana. Na Sasa Jumanne kura zitapigwa, hakuna mwenye uhakika na ushindi, wote wanapresha.
Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi Kenya bwana chebukati anasubiriwa amtangaze hakuna ajuaye mshindi atakuwa nani.
Tubadilike
Hehehe aibu mnaona nyieNaona unaburudisha genge tu!
Ndio unataka kulinganisha na utopolo upi?1. umeangalia kwenye katiba ya kenya ukaona mgombea uraisi anaruhusiwa kupiga kampeni miaka miwili + kabla ya uchaguzi?
2. Umeona maamuzi yaliyokuwa yatotolewa na vyomba vya kisheria Kenya pengine siku tatu kabla ya uchaguzi? sasa Tume inakuwaje huru kama muhimili mwingine unaweza kubadilisha kila kitu dakika za mwisho?
Natamani tuongee vitu kwa logic na sio kwa ushabiki
Ukweli mchungu sanaMtanzania akiwa na uhakika wa kula na kushiba mengine sio muhimu kwake.😂😂😂! Hata wenzie wakilala njaa na kufa wala hajali.
Huenda njaa ya wakenya imewafungua wenzetu akili.
Unaonaje hiyo wanasema ukweli sasa je ile kamati ya ccm mnayoita tume ya uchaguzi ambayo wanapojitokeza wapiga kura 5,000 wanaongeza tena sifuri na kusema waliopiga kura walikuwa 50,000 na mgombea wa chama tawala aliyepita bila kupingwa amepata kura 49,500 na kura 500 zimeharibika.1. umeangalia kwenye katiba ya kenya ukaona mgombea uraisi anaruhusiwa kupiga kampeni miaka miwili + kabla ya uchaguzi?
2. Umeona maamuzi yaliyokuwa yatotolewa ya kurususu/kufungia vyombo vya kisheria pengine siku tatu kabla ya uchaguzi?
3. Kwa mtazamo wangu tume hiyo imefeli kabisa; Umeona lini jiji kubwa na lenye upinzani kama Nairobi watu waliopiga kura ni kwenye 10% ya walio jiandikisha na kuna jimbo waliopiga kura sijui ni 5%. kwa kweli hii ni aibu kwa demokrasia!
Natamani tuongee vitu kwa logic na sio kwa ushabiki