Mgeni wa Jiji
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 9,758
- 18,431
Nipo wenye gari...Arusha-Dar, nipo na mama wa makamo ila kwa vile ni mwanamke NATONGOZA TU! akikataa poa nimetimiza wajibu.
Nimetoka kutongoza asaiv na nimekataliwa nipo naenda kwa dada wa niliyemtongoza. Hvyo hvyo maisha yataenda nikitoswa naenda kwa house girl halaf mama yan mpaka nipate.
Nyakati zimebadilika sana, kijana tafuta kwanza pesa ukiwa na pesa hata jesca wa magu utaweza mtokea bila kuhofia kupigwa nanii 34!!
teh teh teh mnanifurahisha sana vijana wangu.Nipo wenye gari...Arusha-Dar, nipo na mama wa makamo ila kwa vile ni mwanamke NATONGOZA TU! akikataa poa nimetimiza wajibu.
Tumeambiwa tupambane huendaseat ina abiria tayari .....
Hapa sasa ndo majanga,nilitembelea ofisiUkiachana na majukumu kwanza raha sana pale unapo mseduce msichana na kupima akili yake
Mambo? mzima lakini? mi naitwa slim5, samahani, wewe mwenyeji maeneo haya?Ngoja nami nichungulie
Tifiti hii imefanywa na nani? Wapi?Utafiti mmoja niliowahi kuusoma unaeleza kwamba wanaume waoga wa kutongoza hutokea kuwa na hisia za kikatili hasa ukatili wa kijinsia?hisia za kukataliwa na kujihisi kupuuzwa na jamii,wengi huwa hawafanikiwa kimaisha!na huwa ni watu wanaotumia nguvu nyingi kujihami na adui ambaye Hamjui au hayupo!