Raha ya mtoto wa kike kutongozwa na fahari ya mwanaume kutongoza!

Dah! Aysew we kweli ni Tozi. Wale wazee wa kugonga like mpeni za kutosha and of course hapo ndo naanz Kupata structure ya utongozaji. Good try
 
Karibuni jamani naomba iwe thread kwa ajiri ya kupeana nondo wakati wa kutongoza kwa sababu kuna wanawake wengine pasua kichwa ila ukipitia nondo za wadau unapata ujasiri na unapata njia bora kama sio rahisi ya Ku approach girls
 
Ama kweli wanaume wameisha.wanawake wameumbwa kwa ajili yetu mkuu usiogope chochote na kumbuka kukataliwa kwa mtongozaji n kawaida
Of course kukataliwa kwa mtongozaji ni kawaida. Tupeana ujuzi na mbinu mbalimbali kuhakikisha kwamba hachomoi mkuu
 
Wengine hutumia Ucheshi kama tiketi ya utongozaji,
wengine hutumia kusifia tu,
wengine hutumia mazoea tu,
wengine hutumia usiriasi tu,
wengine hutumia ubishoo,
wengine hutumia maneno matamu sana,

kwa kifupi ni kuwa kila mme mwenye mke katumia njia fulani kumpata huyo mkewe.
Usikariri njia moja.
 
Jamani wahenga naombeni tusaidiane ktk hili jambo linalonichanganya..ni kuhusu namna wadada wanavonijibu vile navowatongoza hadi naelekea kukata tamaa kabisa..
N hivi hadi sasa ndani ya kama mwaka mmoja hivi nimetongoza wadada wanne kwa nyakati tofauti ila wote wananikataa kwa kunipa jibu moja kuwa wanao watu tyr...hadi nachoka yaan....HV n kweli wote wanao au hii n mbinu ya kukataliwa tu na hawa wasichana??
Nipeni mawazo maana sasa nakata tamaa na kutongoza kabisa maana nafuatilia sana ila jibu nalopewa n hilohilo ,kama wanaambiana vile wakati hawahusiani kabisa

Nawasilisha....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…