Mkuu unajua watu wengi wanapenda kujiumiza kichwa kwenye kutongoza, lakini kikubwa ujumbe kufika kwake yule mwanamke. Mfano
Mme: Habari yako Jessica
Mke: Nzuri
Mme: Nahisi mapigo yangu ya moyo yamebadilika hafla na kuanza kuuma sijui kwanini?.
Mke: Labda ukimbilie hospitali ukamuone daktari.
Mme: Maumivu yangu sio ya kutibiwa na daktari ila wewe nurse Jessica ndio dawa yangu, kila siku nikikuona navumilia lakini leo naona nikwambie ukweli wangu. Umeshika hisia zangu nataka uwe wangu wewe ndie ndoto yangu furaha ya moyo wangu. Naomba unikubalie niwe wako wa milele wa maisha yangu, naomba unipe jibu uupoze moyo wangu
Mke: ????
Ndukiiiii [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️