Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Blue G kwa kweli inapendeza nikimuanza mimi hata kama yeye alishaonyesha hizo dalili za kunipenda ila lile tamko nilitoe mimi na sio yeye aanze maana naona kama amejirahisi sana kunitamkia ananipenda
Na itakapotokea tatizo lolote kama ulivyosema nitaishia tuu kumwambia au kuumumiza kuwa ulinitaka wewe na hukuwa chaguo langu nasikukupenda ila ulijileta
Japo wapo wanaoonyesha ishara za wazi kuwa wanakupenda ila hata kama zipo hizo ishara iishie mwanaume aje aweke hisia zake mwenyewe na sio mwanamke aanze kuweka hisia zake
mm naona raha sana pale napoanza kukutongoza halafu ukazingua kidogo mpaka siku tukienda gest unakuwa na ile staki nataka. Hapo inakuwa mzuka kishenz. Lakin sio wale unamwomba namba ya sim tayar katoa bila hata kipingamiz unampiga saund hata hakatai hata kidogo mnaenda gest yeye ndio wa kwanza kuvua anashinda na kyupi tu. Aaghrrr hata mzuka hakuna hapo
Mimi nionavyo mwanamke kukutamkia nakupenda asilimia kubwa huwa ni kicheche kwa ambae sio mzoefu hawezi kukutamkia live bila chenga ni sawasawa unamtongoza mtoto wa kike mara moja anakubari na ukimuomba mfanye mapenzi anakubari mara nyingi huwa kunatatizo kama ulikua unampango wa kumuoa inabidi ukae chini ufikirie
bado kuna kutongozana tuu? Siku hizi unashika tu mkono unaenda nae.
Kutongoza raha sana. Haswa mtoto anapojidai kukataa
kataa....
Mi nmewahi kuexpirience Mara tatu to be honest wote niliishia kuwaumiza so nafikiri nivizuri tukabaki na tradition zetu ingawa udigital umebadilisha dhana nzima suala hilo kwa kuleta uneutral!
imekua bahati mbaya sana,mwanake sikuhizi hutongoza mwanaume kwa kangalia wallet yake na c uanaume wake.
Asante mkuu ilikuwa inanisumbua sana hii issue ya hawa wadada wa siku hizi hawana haya wala hawajui vibaya thnk you
Asante mkuu ilikuwa inanisumbua sana hii issue ya hawa wadada wa siku hizi hawana haya wala hawajui vibaya thnk you
yote uliyosema yana ukweli. Kazi ya mwanaume ni kutongoza na hasa mbinu mbalimbali zitatumika pale anapopata mwanamke anayevutiwa naye. Anapotongozwa mwanaume inakuwa ni ajabu maana mwanamke kazi yake si kutongoza.