Blue G
JF-Expert Member
- Jun 20, 2012
- 5,339
- 3,667
- Thread starter
- #41
ni kweli kabisa mkuu na hasa kwa kuwa wanaume linapokuja swla la hawa viumbe wa kike wana hururma kupindukia,na ukichangaya na kuongozwa kwa mihemko ya mwili ya walio wengi afu ndo ukute hana msimamo,akitongozwa anakubali kwa vigezo hivyo vitatu,akishampitia basi na huruma anaiweka pembeni mwanamke unaonekana choo tena
akhaaaa Mr Rocky mi bado nipo pale pale raha jamani kusarandiwa na mwanume unayempenda,umsumbue sumbue umkatishekstishe vikona apate hata cha kukumbushia siku mkiwekana ndani anakwambia afu wewe ulinisumbuaga sana ujue!!!!haaaahaaaaaahaaaaa raha iliyoje narudia tena mtoto wa kike haiba inamtaka atongozwe.

Blue G kweli kabisa nakubaliana na wewe. Umsumbukie mtu kidogo akuzingue kidogo na hata siku akikuambia anakupenda ukienda nae kwako akusumbue kidogo kumpata sio kirahisi rahisi tuu
Sio yule anajileta kwako mzima mzima na kila kigezo kinaonyesha kuwa anakutaka na anajilengesha kwako hapo kwa kweli unaanza kuwaza mengine na siku ya kumchoka unampa kavu kabisa sikukupenda ila ulijipendekeza mwenyewe na wala sikuwa nakupenda zaidi ya kuact kuwa nakupenda ili kukuridhisha
Last edited by a moderator: