MankaM
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 9,448
- 3,065
yaani nimekuota umenitongoza....
ngoja nikujie usiku ndio utaelewa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yaani nimekuota umenitongoza....
dada ICHANA tuseme hayo ya kizazi hiki tuyaweke pembeni na tongelee jinsi mambo yanavyotakiwa kuwa,wewe una maoni gani kuhus hilo,unafikiri haiba ya mtoto wa kike inamruhusu kumtongoza me?unafikir ni kitu kizuri tu?kama sio nini madhara yake?
hey guys try to change For mi a think this is PATRIARCH system we have feelings , for sure hii system inatuumiza sana come on ,some time we can love aguy without looking for his money but perception zao zinakufanya uwe a fish coz you cant express, this idea should change cyo kabisa .
ngoja nikujie usiku ndio utaelewa
dahhhh MTENDAHAKI una historia ndefu sana aisee,lakini mbona naona kama vile huliosa msimamo kaka? utaendaje kilaini kiasi hicho chumbani kwa mtoto wa kike kaka? au ndo tuseme na wewe hisia zilikuwepo ila ulikuwa unaogopa kutolewa nje?na huyu wa kazini ulicheat? I mean ulikuwa na wife tayari?Kumkatalia....!!!I dont think ni neno sahihi labda uulize nitamchukuliaje?Imeshanitokea mara 3, mara ya kwanza High School, Ya pili Chuo na kazini! High school alikuwa ni best yangu sana, alikuwa anapenda kuja uwanjani kuniangalia ninavyocheza na mda mwingine kutaka nimfundishe (volleyball), but walikuwa wengi wanataka niwafundishe hivyo sikuwahi kudhani ananifeel, until siku moja mbele ya rafiki zake akanichana tena nikiwa naongea na lady captain wa volleball akaja na kuanza kama anamsimulia mwenzake "...basi huyu kaka nampenda, napenda anavyocheza volleball, kila siku naenda uwanjani kumuangalia, na marafiki zangu wote nimewaaambia nataka awe bf wangu lakini yeye hata sijui kama ananifikiria...."!Big suprize I didnt know what to do, beautiful girl of course alikuwa na viskendo uchwara pale school!Unataka kujua nili react vipi! Nilimwambia nampenda pia lady captain akaanza kunitania nikakosa pozi, nikayeyusha na kuondoka!Mpaka namaliza shule sikumjibu zaidi ya kusmile nikimuona! "Do you think I did hurt her?!! wow sorry!!!Huyu wa chuo alikuwa tofauti kidogo yeye hakumwaga mchele hadharani, alitafuta namba yangu ya simu akaniita chumbani kwake na kunieleza ukweli wake!I respected her feelings, but nilikuwa na GF tayari!Akaniambia anafahamu na hajali! To be honest with you hapa nilipata mteremko, I ended up cheating with her!It was always cool!Mpaka leo tunaheshimiana sana!Wa kazini was a crush.. she wasnt from Tanzania, na mie sikuwa bongo!Hii nilianza kuisimulia humu JF kama true stori watu hawakugonga like wakaleta majungu nikawapotezea!But we ended up on bed honestly!
You are heading to an ideal situation....one that no longer exists.
Blue G sina hakika kama nilikosa msimamo au nilikuwa naogopa kuoneka na ---- baadae! Lakini nilikuwa sikuwahi kudhani kuwa anaweza kuwa demu wangu kwani tayari nilikuwa na GF!Wa kazini it s obvious ni cheating lakini by that time nilkuwa sijaoa ila nilikuwa na mtu wangu tayari!dahhhh MTENDAHAKI una historia ndefu sana aisee,lakini mbona naona kama vile huliosa msimamo kaka? utaendaje kilaini kiasi hicho chumbani kwa mtoto wa kike kaka? au ndo tuseme na wewe hisia zilikuwepo ila ulikuwa unaogopa kutolewa nje?na huyu wa kazini ulicheat? I mean ulikuwa na wife tayari?
unataka kuacha nini kaka?you mean alikutongoza ukakubali na ukawa naye na sasa unataka kumwacha au?nina maswali mengi sana alipokutongoza ulikubali au ulikataa?kwa nini ulikubali/ulikataa?Miminlitongozwa na sista wa dhehebu moja la dini,wanovaa vilemba vyeupe na magauni meupe,but kwa sasa nafikiria kuacha
sawa kaka nimekusoma ila wakati mwingine jitahidi ujikaze banah cheating sio ishu wala nini na watoto wa kike wakali hawaishi wanazaliwa kila siku.Blue G sina hakika kama nilikosa msimamo au nilikuwa naogopa kuoneka na ---- baadae! Lakini nilikuwa sikuwahi kudhani kuwa anaweza kuwa demu wangu kwani tayari nilikuwa na GF!Wa kazini it s obvious ni cheating lakini by that time nilkuwa sijaoa ila nilikuwa na mtu wangu tayari!
nimeipenda hiyo kutoka kwa mwaanume lakini kwa mwanamke napingana na wewe,kwa hiyo we unashauri mwanamke amkubali mwanaume yeyote anayemtongoza hata awe mlevi,playboy kisa tu kukataa ni upumbavu?au kwa maoni yako wewe mwanamke kutongozwa na kukataa ni upumbavu kwa manitki na vigezo vipi?sifa ya mwanaume ni kutongoza kukataliwa ni changamoto na sifa ya mwanamke ni kutongozwa kukataa ni upumbavu...ahsanteni...
sasa wewe kama wewe mkuu utajajuaje lengo la mtongozaji?ukishajua lengo lake ni upendo wa dhati alionao kwako utafanyaje akikutongoza?utamkubali/katalia?kwa nini utamkubalia/katalia?utajisikiaje ukitongozwa?kudhalilishwa?fahari?kushushiwa heshima?karibu ufunguke mkuu.Inategemea lengo la mtongozaji,kama anataka pesa,akikutokea akakupata napesa ukampa si inakuwa imetoka.
tuwe wa kweli si bora huyo anayekutokea live kuliko anayekuendea kwa mganga ili ujilete mwenyewe?
hebu niambie La princesa hapo ni full maumivu yaani unajikuta unatamani siku zirudi nyuma ughaili kumtongoza huyo mumeo,yaani hakuna raha kabisa kwa hii kibongo bongo yetu ni full michambo,bora huko kwa wenzetu wanajua na kuelewa kabisa kuwa mwanamke naye ni mtu na ana hisia na yuko huru kuzielezea,huku kwentu utaimba haleluyah nakuomba poo walahi vile.Kiukwel Mara chache sana hasa kwa Afrika mwanaume kumpenda kwa dhati mwanamke aliyemtongoza!!mfano,kuna jamaa huwa akikosana na demu wake anamwambia live'we kwangu huchomoi'namuonea huruma mwanamke mwenzangu
mwantui em tupe mauzoefu uliyonayo japo kidogo usitabanie,wote waliokutokea uliwakubalia au kuna baadhi uliwakubalia na wengine uliwakatalia?kwa nini ulichukua hizo hatua ulizoamua kuzichukua?kutongozwa kidume mbona kawaida sana isee nipo na uzoefu mkubwa sana kutongozwa na hawa wadada.
ingekuwa majanga I guess na hata msisimko wa malavi nadhani ungepungua,back to the topic what do you prefer?a men to approach a woman or a woman to approach a man?em tupe mauzoefu kidogo tafadhali.kungekuwa hakuna kutongozana full kujisevia sijui ingekuwaje dah