Raha ya mtoto wa kike kutongozwa na fahari ya mwanaume kutongoza!

Raha ya mtoto wa kike kutongozwa na fahari ya mwanaume kutongoza!

nimeipenda hiyo kutoka kwa mwaanume lakini kwa mwanamke napingana na wewe,kwa hiyo we unashauri mwanamke amkubali mwanaume yeyote anayemtongoza hata awe mlevi,playboy kisa tu kukataa ni upumbavu?au kwa maoni yako wewe mwanamke kutongozwa na kukataa ni upumbavu kwa manitki na vigezo vipi?
..kutongozwa na akakubali maana yake kaitikia wito kaitikia heshima aliyopewa,maana kuna ambao hawatongozwi hawafuatwi kabisa..ila kukubali kufanya section B huko ni eneo huru la mtu...
 
Pole best sikuwa hewani kama wiki na nusu hivi mimi ni ke.
karibu mwaya

nilifungua hii hasa kutokana na thread yako moja hivi uliyoifungua hivi karibuni ilikuwa inahusiana na hii some how,hope comments za watu mbali mbali humu zitakupa relief na kukusaidia kwa kiasi kikubwa.

any way Leomimi if you dont mind me asking and if you are not embarrsed to answer are a womana or a man?
 
Last edited by a moderator:
Kutongoza ndo nini?

Sijawahi kwakweli...inakujaga tu yenyewe na mwisho najikuta Golgotha.
 
usijali Leomimi nafurahi kujua jinsia yako,sasa kuhusu topic yetu unaweza kujitoa kumwambia ukweli mwanaume unayempenda?umeshawahi?aliitikiaje?kama hujawahi kama unampenda sana mwanaume na unaona hana kabisa hata dalili za kukuaproach unafanyaje?
Pole best sikuwa hewani kama wiki na nusu hivi mimi ni ke.
 
Last edited by a moderator:
inakujaga yenyewe tu mkuu?how em tuelezee au utupe stori japo moja tu kutuonyesha jinsi ilivyokujaga tu na kujikuta Golgotha.
Kutongoza ndo nini?

Sijawahi kwakweli...inakujaga tu yenyewe na mwisho najikuta Golgotha.
 
inakujaga yenyewe tu mkuu?how em tuelezee au utupe stori japo moja tu kutuonyesha jinsi ilivyokujaga tu na kujikuta Golgotha.
Wewe nisakizie tu kwa mtoto wa kike yeyote kama vile La princesa alivyokisakizia kipopy chake nanii...ushuhudie mwenyewe.
 
Last edited by a moderator:
Ki ukweli sijawahi kumtongoza mwanaume hata siku moja haijawahi tokea ndio maana nashangaa sana nijisikia mdada anamtongoza meanaume kwenye maisha yangu huwa naisi hakuna maisha hapo kwenye hayo mahusiano hayo naona kama dada ataburuzwa tu maishani na sio vinginevyo.
usijali Leomimi nafurahi kujua jinsia yako,sasa kuhusu topic yetu unaweza kujitoa kumwambia ukweli mwanaume unayempenda?umeshawahi?aliitikiaje?kama hujawahi kama unampenda sana mwanaume na unaona hana kabisa hata dalili za kukuaproach unafanyaje?
 
Last edited by a moderator:
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,..

Kiukweli tokea baleh inikute, nimekua na mahusiano ya kimapenz na dada zetu hawa, ila mahusiano haya yote hua yanaanzaga tuu from nowea,mwisho najikuta nimeclick na dem, etc,..ila sijawai tongoza, ile ya soundi za nakupenda, nataka uwe dem wangu etc, stuffs like that..

Hua baada ya kufahamiana, dinner mbili 3, then tunavunja amri ya 6. Sasa hali hii imenifanya niwe domo zege indirectly maana kuna mdada nipo nae ila ame demand nimtongoze, meaning she wants to hear me sayin em words n nakupenda.
Sasa ilikua mtihani na siyo kwamba simpendi.
 
Mzee hizo dinner tayr umetongoza..na ukiweza kuoiga mashine kwa njia yoyote basi ume meet target yako..
 
Sema hujawah kupenda, ungependa mtu toka moyon ungesema hayo yote, sema kwakua unaokutana nao ni dada poa wa kupigwa dinner tu na kula mzigo basi hutatongoza, siku ukiwa serious kuanzisha strong r/ship kwa stong/matured woman utajikuta umeshatamka kila hila ya utongozaj chin ya jua. Kwa sasa endelea na hizo hit n run bt kumbuka wakti ni ukuta n wat goes around comes around
 
Kama kichwa cha habar kinavyojieleza,..kiukweli tokea baleh inikute,nmekua na mahusiano ya kimapenz na dada zetu hawa,ila mahusiano haya yote hua yanaanzaga tuu frm nowea,mwisho najikuta nimeclick na dem, etc,..ila sijawai tongoza,ile ya soundi za nakupenda,nataka uwe dem wangu etc,stuffs like that..hua baada ya kufahamiana ,dinner mbili 3,then tunavunja amri ya 6.sasa hali hii imenifanya niwe domo zege indirectly,maana kuna mdada nipo nae ila ame demand nimtongoze,meaning she wants to hear me sayin em words n nakupenda,.sasa ilikua mtihan,na sio kwamba simpend.
Sio wewe tu mkuu unaugonjwa huu hata mimi sijawah kutongoza ...ila sijavunja bado amri ya 6!
 
Kwani kutongoza lazima useme nakupenda.!? Siku hizi kutongoza ni rahisi sana..

Mitongozo ipo mingi mkuu, hiyo ya dinner ni mojawapo..
 
Back
Top Bottom