Raha ya mtoto wa kike kutongozwa na fahari ya mwanaume kutongoza!

Kwanini mkuu..kuna kitu utakuwa ulikuwa unakosea kwenye uhusiano wako[emoji23] [emoji23] [emoji15]
Mim pengine lbda ila sifkirii.
Unaweza kunidokeza. Si unajua tena family nyengine misifa sifa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mimi si ustadhi/sheikh ni jamaa flani hivi mwenye mapigo ya kitofauti tofauti. Halafu ndevu zenyewe za kutisha bhasi! Nimeziachia kiaina tu zile za chini chini. Yeye anataka nipunguze kama zinaanza kuota.
basi huyo demu mshamba kabisaa hajui kama watoto wenzake wanataka uchebe siku hizii...mi nina vimalaika mwaka wa 3 mkuu havikui sijui nani kaniloga paka nawaza nijiteke labda nitarudi nimechakaa kama MO..
 
basi huyo demu mshamba kabisaa hajui kama watoto wenzake wanataka uchebe siku hizii...mi nina vimalaika mwaka wa 3 mkuu havikui sijui nani kaniloga paka nawaza nijiteke labda nitarudi nimechakaa kama MO..
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mim napenda sana kukaa na nywele na zikiwa katika hali nzuri.
Imekua kwa watu wengi hawapendi kuniona na nywele ila siku nliokata kuna wengine wakaniambia ukieka nywele ndio unpendeza zaidi.
Kuna kitu kinaitwa mazoea. Ngoja nikumegee sehemu ya siri yangu, naweza kuonekana wa maajabu kidogo ila ndivyo nilivyo. Binafsi nikifuga nywele huwa naziwekea " record " labda nimekaa mwaka 1 na miezi 5 pasipo kunyoa zaidi ya kuchonga tu. Hiyo kwangu mimi ni " record " na huwa naitunza, kinachofuata ni namna ya kuivunja hiyo "record". Kwa hiyo, nanyoa nywele zote nabakisha za "brush" tu naanza tena safari nyengine.

Kwa mantiki ya hapo juu, ukinyoa nywele ambazo umekaa nazo kwa takribani mwaka 1 watu lazima watakuona kama kituko tu. Ila baadae watakuzoea na lile jina ulilikuwa unaitwa la HB linarudi tena.

Wakati mwengine ni vizuri kuusikiliza moyo wako na kufanya kile unachopenda maadam hakina madhara.
 
Kabisa Mkuu.
Swadakta.
 
basi huyo demu mshamba kabisaa hajui kama watoto wenzake wanataka uchebe siku hizii...mi nina vimalaika mwaka wa 3 mkuu havikui sijui nani kaniloga paka nawaza nijiteke labda nitarudi nimechakaa kama MO..
Hahaha! Mimi ndani ya wiki 3 napitia salon. Pole sana.
 
Hao mademu wanaolinga unakuta wako very lonely kinoma wana pretend tu lakini wana upweke sana , wengine huwakataa wanaume ilikutafuta attention kuna aina ya wanawake wanapenda kuonesha hisia kwa kila mwanaume ili apate kuwa validate wanapenda sana kuona mtu anawapa attention ,alafu mtu akiwatongoza hukataa ili kuendelea kupata attention ya mtu wao hujisikia furaha kuona anashobokewa , pia huona akikubal kuwa na mtu mmoja atashindwa kupata attention kwa kila mwanaume , haina hii ya wanawake huwa na shida ya malezi hasa kwa upande wa wazazi wote wawili au baba yake hakumpa mapenzi ya dhati akiwa kama mwanae hivyo hutafuta attention kwa wanaume kulipizia upendo aliyoukosa toka kwa baba yake , wanawake hawa huwa gumzo kwa muda baadae wakieleweka tabia zao na kupuuziwa wanageuka jamvi la wageni kila mtu anapiga , dawa ya wanawake wenye tabia hii ni kuwadharau huwawanaumia sana wanapokosa validation na hujikuta wanafanya mambo ya kuvuka mipaka ili kupata validation kutoka kwako , sasa ukipata fursa hiyo chapa alafu mfukuze anarudi anatambaa maana hawa ni wagonjwa wa akili.
 
Hahahah hii ilishanitokea
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]watu wa bush mnajua kijifagilia wakati mnatiwa kwa 500tsh
 
Wapo mikoani tu? Hilo sina uhakika nalo sana,maana mikoani ni kupigana ngwala na kumalizana maporini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…