Raha ya mtoto wa kike kutongozwa na fahari ya mwanaume kutongoza!

Raha ya mtoto wa kike kutongozwa na fahari ya mwanaume kutongoza!

Inategemea umekuja vipi katika utongozaji wako.....umekuja ovyoovyo inategemea nikupe jibu zuri ..thubutuuu

Hata kama mnasema mwanamke anaexpire date Mimi hua sijali hilo...tunaishi na principle zetu bana
 
Kuna mmoja aliniulizs kabisa toka ufike humu bush umelala na wangapi kwa kiburi nikamtajia nikajua ataondoka ndo kwanza akaanza kusaulaa
Sasa hizo dharau....but at the end hutapata unachokitaka best....penda kumheshim mwanamke utaona matunda yake!
 
Inategemea umekuja vipi katika utongozaji wako.....umekuja ovyoovyo inategemea nikupe jibu zuri ..thubutuuu

Hata kama mnasema mwanamke anaexpire date Mimi hua sijali hilo...tunaishi na principle zetu bana
Santee sana....na unaexpire vip kwa mfano?[emoji15] [emoji15] ....wao ndo wanaexpire coz at 50 u.b.o.o haufanyi kazi while we una 80 age papa liko gado kinoma....hebu achana nao mfyuu[emoji57] [emoji57] [emoji57]
 
Naufatilia mwenendo wako km una hasira mno seems kuna kitu unakikosa hivi
Aseee we ndo una stress mkuu....mi niko gado kinoma, halafu ni mkweli kuanzia jf mpaka kitaa mi sifake life.....BTW kusoma tu comments ndo ukajudge?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]....inawezekana we ndo una bonge la msala kwenye life yako
 
Back
Top Bottom