Raha ya mtoto wa kike kutongozwa na fahari ya mwanaume kutongoza!

Raha ya mtoto wa kike kutongozwa na fahari ya mwanaume kutongoza!

Tatizo baadhi ya mitongozo inaboa.
Imekaa kizamani zamani.
Unatongoza mdada wa miaka 20+ na mitongozo ya kijinga kama unarubuni mtoto wa la saba [emoji57][emoji57][emoji57][emoji57].
Silaha mnazotumia ni zile zile, hamna jipya.
Wengine mnatumia nguvu nyingi kama mnalima, hadi anayetongozwa anavuja jasho.
Ila kuna wanaume wanajua kutongoza bhanaa, hadi unasikia raha. (Wapo mikoani tuu)
Kwanza kwa wataalamu wa mitongozo tunapotupia kete huwa tunaangalia aina ya mwamke aliyepombele yako au unayezungumza naye kwa muda huo mfano,kuna wanawake wanapenda sana movies, wengine wanapenda biashara,wengine wanapenda kusoma novels, wengine wanapenda umbeya,wengine wanapenda kusifiwa,wengine wanapenda kuchekeshwa so,you are suppose to dance according to the tone

Mwanamke anayependa movies hasa movies za mapenzi ukikutana naye kwanza unamsimulia bonge la movie plus kumsifia then unachomekea na tongozo kidogo
Kesho yake ukionana naye unakuja na story au movie mpya...ukifanya namna hiyo ndani ya mwezi mmoja mfululizo siku usipomtafuta atakutafuta mwenyewe!
 
Acha uongo, shida sio mitongozo shida ni kuwa huyo mkaka anaekutongoza unakuwa hujampenda/hujavutiwa nae ndo maana huwa mnajibu fyongo..kama ukimpenda mkaka hata akija na gia za, "usiku silali, nikinywa maji kwenye glass nakuona" mbona utamkubali fasta tu tena utamuona yupo romantic

Hlf sometimes mdada akitongozwa sana anajiona mzuri, kiburi na maringo vinapanda kwahiyo anawaona most of men kama vikaragosi cute b
okoyoko again[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Basi nikiona quote yako huwa nacheka kabla sijafungua.[emoji13][emoji13]
 
Uwezekano wa kukubaliwa ni mkubwa.
Siyo wa kupewa mzigo.
Ukitongoza unategemea kukubaliwa au kukataliwa.
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] sasa akishakubaliwa c hatua nyingine zinafuata ....show show mpaka kieleweke....
 
Hahahahaha sio Arusha lakini
Ha ha ha ha umenikumbusha jamaa mmoja wa Arusha aliniambia "unajua nini " mamilooo" kusema kweli....."
Huwa napenda sana majina yao wanayoita wanawake....mf mamilooo, mamakeee, mamaaa na mama mdogooo ( ukiwa mdogo mbichi bichi) na mshangazii ( ukiwa mkubwa)[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8] them
 
Wanaume wa dar bhanaa mnawaza kujigijigiii hamwazi baada ya kukubaliwa ni safari ya ndoa inaanza.
Mpoje lakini??[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mbona nyie mkishatongozwa hamfikirii majukumu yenu km wake watarajiwa (kufua nguo,kumfanyia usafi nyumban/ gheto kwake, kupika n.k). Badala yake mnaanza kuandaa mizinga ya hatari ..mwisho wa wote tunaishi kiujanja ujanja ....hamna boya siku hz [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wanaume wa dar hamna chochote, wana fake mitongozo hadi inaboa. Mtu anakutongoza kama anavuta mafua ndani.
Hizo ni swag my dear[emoji23] [emoji23] [emoji23] .
Na wao watafika basi huko walipo [emoji23] [emoji23] [emoji23] wamikoani.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mbona nyie mkishatongozwa hamfikirii majukumu yenu km wake watarajiwa (kufua nguo,kumfanyia usafi nyumban/ gheto kwake, kupika n.k). Badala yake mnaanza kuandaa mizinga ya hatari ..mwisho wa wote tunaishi kiujanja ujanja ....hamna boya siku hz [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Unakwama ndugu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tatizo lenu tukija kuwafulia, kupiga deki, kuosha vyombo na kuwapikia .... Mkishakula mkishiba mnataka mtule na sisi wapishi.
Nyieee veeeeeeeeeep !!!!!!
 
Unakwama ndugu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tatizo lenu tukija kuwafulia, kupiga deki, kuosha vyombo na kuwapikia .... Mkishakula mkishiba mnataka mtule na sisi wapishi.
Nyieee veeeeeeeeeep !!!!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nijuavyo Mimi ..ukishamkubalia mwanaume bhasi huna budi kufuata kila unachoambiwa ...so swala LA kuja kufanya majukumu yako km mke mtarajiwa ..ni pa1 nakuachia zigo ili ujiongezee point maana hauko peke ako [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom