monde arabe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 8,781
- 13,444
Kwanza kwa wataalamu wa mitongozo tunapotupia kete huwa tunaangalia aina ya mwamke aliyepombele yako au unayezungumza naye kwa muda huo mfano,kuna wanawake wanapenda sana movies, wengine wanapenda biashara,wengine wanapenda kusoma novels, wengine wanapenda umbeya,wengine wanapenda kusifiwa,wengine wanapenda kuchekeshwa so,you are suppose to dance according to the toneTatizo baadhi ya mitongozo inaboa.
Imekaa kizamani zamani.
Unatongoza mdada wa miaka 20+ na mitongozo ya kijinga kama unarubuni mtoto wa la saba [emoji57][emoji57][emoji57][emoji57].
Silaha mnazotumia ni zile zile, hamna jipya.
Wengine mnatumia nguvu nyingi kama mnalima, hadi anayetongozwa anavuja jasho.
Ila kuna wanaume wanajua kutongoza bhanaa, hadi unasikia raha. (Wapo mikoani tuu)
Mwanamke anayependa movies hasa movies za mapenzi ukikutana naye kwanza unamsimulia bonge la movie plus kumsifia then unachomekea na tongozo kidogo
Kesho yake ukionana naye unakuja na story au movie mpya...ukifanya namna hiyo ndani ya mwezi mmoja mfululizo siku usipomtafuta atakutafuta mwenyewe!