Raha ya mtoto wa kike kutongozwa na fahari ya mwanaume kutongoza!

Mmekuwa wavivu kutongoza mnaishia kuboa, mtu anakutext mambo asubuhi, jion anaomba mechi! Kuna kazi hapo! Kutongozwa kuna raha yake, ukikosea tu lazima ule za uso.. Unatongoza ka unaongea na m'ume mwenzio bhna! Romantic haipo kabisaaa! Unakuta mtu hela hana na kutongoza hajui weeeh! Wala hurudi mara mbili kusoma msg yke!! Hahaa!!i labda drs la saba
 
Mami kajunjumele moja hiapa
😘😍😘
 
Haaaahaaa[emoji23] ...nimecheka
 
Mimi kuna binti nilimtongozaga miaka 3 iliyopita akanichomolea nje kwa dharau,sasa nashangaa mwezi uliopita ananitumia sms hutaki mzigo . Nimemjibu nilikupenda kipindi kile wakati hujazaa ,sasa sipendi used
Aaaah nomaah sana
 
Haaaahaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ...wee jamaa let me shut up[emoji40] [emoji40] [emoji48]
Huu mchezo mtamu sana. Sema ndio hivyo tena umri unaenda, baadhi ya mambo unapunguza. Unashangaa kijana ana usafiri, kazi nzuri, nyumba etc harafu wanawake wanampa tabu! Yaani vitendea kazi vyote hivyo, bado anapata tabu; unabaki kushangaa.
 
Huu mchezo mtamu sana. Sema ndio hivyo tena umri unaenda, baadhi ya mambo unapunguza. Unashangaa kijana ana usafiri, kazi nzuri, nyumba etc harafu wanawake wanampa tabu! Yaani vitendea kazi vyote hivyo, bado anapata tabu; unabaki kushangaa.
Haaahaaahaa.....naked truth
 
 


Acha uongo, kwa uzoefu wangu kutongoza hakuna formula, kama mdada kapenda vya kutosha, it won't be that hard, ila kama hupendwi jasho la meno ndo linakutoka, mara utumie pesa, mara uzungushwe miezi 8 Mis powers
 
Haaahaaa....ukiwa bahili utapata za uso kinoma!

Kumbuka mkono mtupu haulambwi!


Acha kutulisha mavi na kijiko, hizo theory zako za kuwa eti kumpata mdada hadi umpe vizawadi, bhasi utadanganya wanaume wasiojielewa..best relationships I had ni kutoka kwa wadada ambao sikutumia hata senti kuwapata, ukienda na gia za vizawadi hlf ukikutana na mdada mjanja most of the times utachunwa hadi ujihisi mbuzi mee na papuchi hupewi....

Kuna mdada nlimtongoza hlf alinikataa kwa kuniambia ana bf, sikumbembeleza nkaachana nae, baada ya miaka 2 naona ananishobokea (nikajiuliza kichwani huyu MTU alinikataa imekuaje leo ananishobokea? Nimebadilika nn? Kaona nn kwangu? ) nkaona ngoja njifanye mjinga ili njue anataka nn, nikachukua namba..loooooh baada ya cku moja ananiomba nimletee zawadi, nkasema yees, uzuri na mm nimezaliwa mjini, nkamwambia aje gheto achukue hiyo zawadi..tukachat masaa machache yaliyofuata, huyo mdada alipoona sina dalili ya kumpa zawadi yoyote, simu zangu hakupokea tena wala SMS hakujibu

Mpaka leo mm na huyo mdada tunapishana njiani kama kiboko na mamba, shobo zake zote juu yangu zishaisha witnessj
 
Nimecheka kwa sauti huku..
 
Umetisha mzee.
Mimi kuna binti nilimtongozaga miaka 3 iliyopita akanichomolea nje kwa dharau,sasa nashangaa mwezi uliopita ananitumia sms hutaki mzigo . Nimemjibu nilikupenda kipindi kile wakati hujazaa ,sasa sipendi used
 
Naona umewatemea njia mbada vijana.
 
Lakini pia wanaume usilazimishe kupendwa wakati hupendwi unamuaza mtu ambaye hakutaki kama mimi kiukweli nikishaona dalili ambazo hanitaki nakula kona shaaa ya nn kujipa matatizo kuna manzi nilimtongoza kumbe alinikatalia lakini cha kushangaza kumbe waliambiana mmoja alikua anaangia laini ila akapata story kutoka kwa rafiki yake hadi leo mikausho mikali akanitukana nikamjibu jibu moja ungeringa kama una bikra wakati tayari ingene ameshusha yaaan hatari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…