Gonzalo Miguel
JF-Expert Member
- Sep 1, 2018
- 850
- 656
๐๐๐๐๐๐Izi ngwimba bwan!!Kuna Mwanamke nilimtongoza kwa alivyonijibu ilinibidi nipumzike kutongoza mwezi 1
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
๐๐๐๐๐๐Izi ngwimba bwan!!Kuna Mwanamke nilimtongoza kwa alivyonijibu ilinibidi nipumzike kutongoza mwezi 1
Mami kajunjumele moja hiapaTatizo baadhi ya mitongozo inaboa.
Imekaa kizamani zamani.
Unatongoza mdada wa miaka 20+ na mitongozo ya kijinga kama unarubuni mtoto wa la saba [emoji57][emoji57][emoji57][emoji57].
Silaha mnazotumia ni zile zile, hamna jipya.
Wengine mnatumia nguvu nyingi kama mnalima, hadi anayetongozwa anavuja jasho.
Ila kuna wanaume wanajua kutongoza bhanaa, hadi unasikia raha. (Wapo mikoani tuu)
Haaaahaaa[emoji23] ...nimechekaMmekuwa wavivu kutongoza mnaishia kuboa, mtu anakutext mambo asubuhi, jion anaomba mechi! Kuna kazi hapo! Kutongozwa kuna raha yake, ukikosea tu lazima ule za uso.. Unatongoza ka unaongea na m'ume mwenzio bhna! Romantic haipo kabisaaa! Unakuta mtu hela hana na kutongoza hajui weeeh! Wala hurudi mara mbili kusoma msg yke!! Hahaa!!i labda drs la saba
Haaaahaaa[emoji23] ...nimecheka
Aaaah nomaah sanaMimi kuna binti nilimtongozaga miaka 3 iliyopita akanichomolea nje kwa dharau,sasa nashangaa mwezi uliopita ananitumia sms hutaki mzigo . Nimemjibu nilikupenda kipindi kile wakati hujazaa ,sasa sipendi used
Huu mchezo mtamu sana. Sema ndio hivyo tena umri unaenda, baadhi ya mambo unapunguza. Unashangaa kijana ana usafiri, kazi nzuri, nyumba etc harafu wanawake wanampa tabu! Yaani vitendea kazi vyote hivyo, bado anapata tabu; unabaki kushangaa.Haaaahaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ...wee jamaa let me shut up[emoji40] [emoji40] [emoji48]
Haaahaaahaa.....naked truthHuu mchezo mtamu sana. Sema ndio hivyo tena umri unaenda, baadhi ya mambo unapunguza. Unashangaa kijana ana usafiri, kazi nzuri, nyumba etc harafu wanawake wanampa tabu! Yaani vitendea kazi vyote hivyo, bado anapata tabu; unabaki kushangaa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ...wee naeMbona umecheka ? ushakutana na dizaini hizo?
Tatizo baadhi ya mitongozo inaboa.
Imekaa kizamani zamani.
Unatongoza mdada wa miaka 20+ na mitongozo ya kijinga kama unarubuni mtoto wa la saba [emoji57][emoji57][emoji57][emoji57].
Silaha mnazotumia ni zile zile, hamna jipya.
Wengine mnatumia nguvu nyingi kama mnalima, hadi anayetongozwa anavuja jasho.
Ila kuna wanaume wanajua kutongoza bhanaa, hadi unasikia raha. (Wapo mikoani tuu)
Mmekuwa wavivu kutongoza mnaishia kuboa, mtu anakutext mambo asubuhi, jion anaomba mechi! Kuna kazi hapo! Kutongozwa kuna raha yake, ukikosea tu lazima ule za uso.. Unatongoza ka unaongea na m'ume mwenzio bhna! Romantic haipo kabisaaa! Unakuta mtu hela hana na kutongoza hajui weeeh! Wala hurudi mara mbili kusoma msg yke!! Hahaa!!i labda drs la saba
Haaahaaa....ukiwa bahili utapata za uso kinoma!
Kumbuka mkono mtupu haulambwi!
Mmekuwa wavivu kutongoza mnaishia kuboa, mtu anakutext mambo asubuhi, jion anaomba mechi! Kuna kazi hapo! Kutongozwa kuna raha yake, ukikosea tu lazima ule za uso.. Unatongoza ka unaongea na m'ume mwenzio bhna! Romantic haipo kabisaaa! Unakuta mtu hela hana na kutongoza hajui weeeh! Wala hurudi mara mbili kusoma msg yke!! Hahaa!!i labda drs la saba
Mimi kuna binti nilimtongozaga miaka 3 iliyopita akanichomolea nje kwa dharau,sasa nashangaa mwezi uliopita ananitumia sms hutaki mzigo . Nimemjibu nilikupenda kipindi kile wakati hujazaa ,sasa sipendi used
Naona umewatemea njia mbada vijana.Hii mada imenigusa sana, maana nilikuwa domo zege na vibuti nilikuwa nachezea vibaya mno.
Kuna mtu mmoja alifundisha vizuri sana, namna nzuri ya kuongea na wanawake, jaribu kutengeneza dialogue make her comfortable around you. First impressions matter, usilete topic/maswali yenye "Yes/No". Sio unafika tu, "Dada nimekupenda, naomba namba yako ya simu", akisema hana simu gearbox inakuwa imeingia kokoto.
Kuna manzi nilikuwa nasoma naye chuo, wakishua, halafu ana akili kinoma. Ana jamaa yake ana mpunga kweli kweli. Siku moja nikakutana nae mtaanai, nikamsalim then nikamwabia something simple, "Unajua kila nikikuona huwa najiuliza maswali mengi sana", alipotaka kujua ni maswali gani, nikamwambia "never mind".
Tukabadilishana namba, usiku alikuwa wa kwanza kunipigia (nilitengeneza the need to know, na binadamu hapendi kutojua), anataka ajue ni maswali gani hayo? bahati nzuri sana nilikuwa na safari, tukaongea/chat sana. Actually I was surprised, hakuwa na nyodo kama tulivyokuwa tunadhani; nilivyorudi nikwambia nimekuletea zawadi(uongo mtupu).Zawadi gani, nikamwabia siri yangu, njoo home uchukue, alivyokubali tu, mimi huyo Mwenge vinyago kuchukua zawadi kutoka "Arusha"
The rest is history....
Talk to her about anything without direct requests, mpaka atakapojisikia huru na wewe; Angalia mazingira, unawezaje kumfanya awe comfortable na wewe hapo mlipo?. Kuna demu mmoja nilimpataga kiulaini Mlimani City. Nimekutana nae Mr Price, nikamsalimia, nikajitambulisha [Respectfully]. Then nikamwomba msaada (Point to note: surprisingly wanawake wanapenda sana kutoa msaada), anisaidie kutafuta zawadi nzuri ya birthday ya dada yangu wakati sina dada wala birthday.
Nikawa nimeua ndege watatu kwa jiwe moja
1. Nimetengeneza dialogue without looking like an jerk.
2. Kwa kumuamini na kumpa kazi ya kutafuta zawadi, nimetengeneza trust between us; inaondoa natural defenses za mwanamke
3. Nimeonyesha kwamba I do care (kumtafutia zawadi sister yangu)
The rest is history....
Kuna actions wanawake wanazipenda naturally mfano taking care of children. Siku moja moja toka na vitoto vyako or vya any close relative, approach any lady, lazima moyo wake u-melt; anaanza kumuona baba wa watoto wake wakati wewe ni fisi tu. (Msije anza kuzungusha juani watoto wa ndugu zenu)
Kutongoza ni science. Wanaume tujue wanawake wanatongoza kila siku na kila mtu; how do you stand out? Nini kitamfanya asikusahau wewe? Jifunze, practise, utafanikiwa.
nakusalimu[emoji23] [emoji23] [emoji23] ...wee nae
Zamani, wakati wa ujana wangu, niliwahi mtongoza manzi flani akazingua, nikala corner, baadae akanifuata na kuniuliza, " Mbona wewe unakata tamaa mapema."
Nikikumbuka huwa nacheka tu.
Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
Macho ya jinsia tofauti yanayokutana kwa mara ya kwanza yana siri kubwa sana ndani yake, cheza hapo hapo usipoteze mwelekeoNifundishe hizo mbinu mkuu