mahatmaxlla
JF-Expert Member
- Nov 26, 2017
- 896
- 1,435
Wazee wa 'deadballs' nasi tuna comment!?..
Hahaaaaa khantwe lazima uwe umevuta Cha Njombe
Hahaha nimevuta cha lupembe. Sio kule twalima chai tu yakhe hatunaga bangiHahaaaaa khantwe lazima uwe umevuta Cha Njombe
tupeane madini ya kutongoza nafikiria sijui nianze lini. Niliona Jana kwenye dstv kaka na Dada wakisemeshanaNi swali fupi tu hivi Unaikumbukaje ile siku yako ya kwanza kutongoza/tongozwa ulipewa/toa jibu gani?
Mi nilijibiwa nimekubali lakini namuogopa Mama.
Cc Zero IQ.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kutongoza demu live live Ni kazi ndo maana hata matajiri na wasomi wanachukua mademu wabovu sio wale wakali.tena wanaoa kabisa na kusaidiana maisha.kutongoza Kuna ugumu lakini Sasa hivi mitandao ya jamii ulichofanya Ni kuutangaza umalaya mademu wanaojiuza wapo kila sehemu Instagram,Badoo n.k na Ni Hali inazidi Kuwa mbaya.unaweza UKAWA na hela na ukamuona demu mzuri unashindwa kuongea naye.na ukikutana na demu mkali anakupiga hela na kumtom humtom.
Hakuna kitu rahisi kama kutongoza live