Raha ya mtoto wa kike kutongozwa na fahari ya mwanaume kutongoza!

Hamna tatizo hapo..kwan sisi hatujui au hatuoni kama uyu kaka anajielewa au kilaza au husband material tunaona na tunapenda na kutaman pia mi nikikupenda utajua tuu japo sitatamka.
 
Hamna tatizo hapo..kwan sisi hatujui au hatuoni kama uyu kaka anajielewa au kilaza au husband material tunaona na tunapenda na kutaman pia mi nikikupenda utajua tuu japo sitatamka.
uko sawa kabisa mamie,lakini bado ni ukweli usiopingika my dear,ukiwa mtoto wa kike kutongozwa kuna raha yake na sio wewe ndo utongoze,hata mwanaume yeyote yule anayejielewa nadhani hataona taabu kutongoza coz ndivyo maumbile yanavyomtaka afanya na sio kinyume na hapo,na hata kama utaonesha dalili zisiwe za wazi mpaka kila aliyekuzunguka anajua kabisa Christina George kafa kaoza kwa Fulani,inampunguzia hadhi yake mtoto wa kike,(kwa maoni yangu though)
 
Mi sioni tatizo.
 
Aseee kazi ipo
 
Kiukwel Mara chache sana hasa kwa Afrika mwanaume kumpenda kwa dhati mwanamke aliyemtongoza!!mfano,kuna jamaa huwa akikosana na demu wake anamwambia live'we kwangu huchomoi'namuonea huruma mwanamke mwenzangu
Hahaha
 
Mkuu najua kunielewa ni ngumu ila kama mungu angekuwa na uwezo wa kuamisha sijui niite ni nuksi hii au nakosa jina la kuiita basi aihamishe kutoka kwangu kuja kwako aamin.
Tena wengi huwa ni wana wasela wao kabisa ila tatizo mi si kitomb.....i
Duuh
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…