Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sababu ya kuachana? Umekuwa nao muda mrefu, pengine umeachana nao kwa kuwa hawajawahi kusikia ikiwatamkia kuwa unawapenda.Dude,i have ever been wit a girl for 3yrs,n mwingne 4yrs,na nilikua nawapenda kinoma,yan ile kupenda ya had kuvuka border,kumfata mtu mkoa etc,but i neva tell em hzo mambo pindi napoanza nao,inatokea tunakua tuu
It means you dont mean it.Kutamka hilo neno live live hua ni mtihan,i cant look her uson kabsaa
Yan huyu nishamkulaga eti,..ila anadai mi skumtongozaga,..anahis labda alijirahis kwangu,nahiskumkula je pia hujawahi
Perhaps,..ila sidhaniIt means you dont mean it.
Uchoyo tu .. hadi neno unabania matendo utaweza kweli?Ngumu kumeza,..i myt do everythn she wants ila hilo neno had litoke duuh,na sio kwamba hua sipend,ila sjui nna nin
Funny enough am good at actions et,..weirdUchoyo tu .. hadi neno unabania matendo utaweza kweli?
Hahahahaha,Sasa kama unahonga unategemea nini? Kwa taarifa yako wewe ndio mtongazaji hatari duniani, kwa style hio hachomoki MTU.
Wala si mchoyo migegedo,ishu iko kwangu,sjawai mwambia hizo sound ,amemindWe mwambie tu baby nina hamu atakuelewa