Oppomall
JF-Expert Member
- Feb 8, 2017
- 3,683
- 3,966
Glenohumeral joint, Sometimes u have to still one's wife ukiona hutoboi
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa unampaje hela MTU ambaye hata kukukubali tu hajakubali??Pia ukitoa hela jibu ni ilo hilo?
SawasawaJibu hilo hupewa wale wasiokuwa na hela.. Mkuu tafuta PESA kwa nguvu zote alafu lete mrejesho hapa.
Naanza kuamin hii principle maana duuhPESA mbele halafu tai ndio inafuata.... Ukitanguliza maneno kwanza hupat kitu Now days
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha.....hao hapana mkuu...nazungumzia wa kuwa nao kwenye mahusianoMbona wanawake wapo wengi, Kuna wale wanaokaa barabarani ulishawajalibu?. Hawana majibu kama Hayo
Ooh hapo ndo unakwama kumbe unasubiri akubali
Sawasawa ....sasa mm jibu nalopewa n kwamba wanawashikaji tyr so hii mbinu itafelizingatia hivi vitu kabla kumtongoza
1. zawadi jaribu kuwa unampelekea zawadi nguo, chupi, choclate na ice cream
2. hela jaribu uwe unampatia hela ndogo ndogo uwa wanapenda sana vihela vidogo hawa wadada 5000 au 10000 weka kwenye tigo pesa
3. mtoe out penda kujivinjari nae sehem mbali mbali kama beach au swimming na sehem mbali mbali za starehe ila zingatia iwe usiku
4. mjari hakikisha kila baada ya masaa matatu au zaidi na ikiwezekana kila muda uwe unamtumia meseji kumjulia hali
NB. hakikisha unafanya hivi ndani ya week 1 au week 2 then unamtongoza lazima aakubali kama ikitokea akikutaa punguza speed vile vitu na jiachie tarstibu baadae lazima aje akukumbuke na atakutafuta yeye sasa wewe ndio unakua muda wako wa kumlingia
pia lazima asiwe mke wa mtu au hana mshikaji
Sent using Jamii Forums mobile app
tatizo ulianza kutongoza inabidi fanya mbinu hizo kabla ya kutongozaSawasawa ....sasa mm jibu nalopewa n kwamba wanawashikaji tyr so hii mbinu itafeli
Sent using Jamii Forums mobile app