Raha ya mtoto wa kike kutongozwa na fahari ya mwanaume kutongoza!

Kuwa na mtu ni jambo la kwanza, na kukukubali ni jambo lingine.
Wewe unawatongoza kwa malengo gani ili nikushauri?. Usijekuta unatongoza mke/mchumba wa mtu utegemee kumuoa..
 
zingatia hivi vitu kabla kumtongoza
1. zawadi jaribu kuwa unampelekea zawadi nguo, chupi, choclate na ice cream

2. hela jaribu uwe unampatia hela ndogo ndogo uwa wanapenda sana vihela vidogo hawa wadada 5000 au 10000 weka kwenye tigo pesa

3. mtoe out penda kujivinjari nae sehem mbali mbali kama beach au swimming na sehem mbali mbali za starehe ila zingatia iwe usiku

4. mjari hakikisha kila baada ya masaa matatu au zaidi na ikiwezekana kila muda uwe unamtumia meseji kumjulia hali

NB. hakikisha unafanya hivi ndani ya week 1 au week 2 then unamtongoza lazima aakubali kama ikitokea akikutaa punguza speed vile vitu na jiachie tarstibu baadae lazima aje akukumbuke na atakutafuta yeye sasa wewe ndio unakua muda wako wa kumlingia
pia lazima asiwe mke wa mtu au hana mshikaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawasawa ....sasa mm jibu nalopewa n kwamba wanawashikaji tyr so hii mbinu itafeli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo lako unaongea maneno tu,huku unajua kabisa maneno matupu hayalambwi.
Anza kujari kwa vitendo kisha maneno yako yafuate.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom