Nakupa siri moja mkuu ( ila usimwambie mtu, ujue nafichua undani wetu mwanamke)....once unamtaka bidada kuwa mnyenyekevu, mpole, yaaan we jifanye falaa![emoji15] [emoji15] ...hata kama hakutaki siku kakorofishwa na bwanaake wee utakuwa wa kwanza kutafutwa ( this is very serious u know)...halafu kingine penda kumpa vizawadi, hapa sasa sizungumzii hela I mean physical or tangible gift asee utapendwa balaa! Hata kama ni mtoto wa Bill Clinton Chelsea lazima atakupenda tuu[emoji173] [emoji173]
Nimekupa hizi mbinu kwa kukuonea huruma tu mkuu...wanaume wengi very shallow na mapenzi
Hebu Nilale mie