Raha ya mtoto wa kike kutongozwa na fahari ya mwanaume kutongoza!

Raha ya mtoto wa kike kutongozwa na fahari ya mwanaume kutongoza!

Tatizo baadhi ya mitongozo inaboa.
Imekaa kizamani zamani.
Unatongoza mdada wa miaka 20+ na mitongozo ya kijinga kama unarubuni mtoto wa la saba [emoji57][emoji57][emoji57][emoji57].
Silaha mnazotumia ni zile zile, hamna jipya.
Wengine mnatumia nguvu nyingi kama mnalima, hadi anayetongozwa anavuja jasho.
Ila kuna wanaume wanajua kutongoza bhanaa, hadi unasikia raha. (Wapo mikoani tuu)
Hayo uliyoanza nayo naweza kukibali ila hilo ulilomaliza nalo skubaki miaka 8000
 
Absolutely true shoo....kuna mwanaume anakupa LOVE mpaka unatamani unukie yy tu mda wote haina haja ya kuoga[emoji23] [emoji23] ....mi navaa hadi boksa lake naenda job coz namkubali!

Sema wanaume waliobarikiwa hivi vitu ni wachache mnoo ukimpata unasema thanks God![emoji120] [emoji120]
Mimi ndo niko hivo njoo pm ujionee kwa macho yako.
 
Haaahaaa....wanaume wengi ukimkataa sijui why ndo anageuka mwiba!

Kuna jamaa ofisini huwa ananifurahisha sana ( japo sionyeshi)... Toka nimemjibu shombo 2 years now anakuja na kila aina ya mbinu, zingine nazielewa zingine chenga! ....in a nutshell jamaa hakatagi tamaa, huwa nacheka kinoma coz hata dunia tubaki wawili tu siwezi kumkubali coz simpendi[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Duh.. Huyo jamaa pole yake [emoji85][emoji85]
 
Tatizo baadhi ya mitongozo inaboa.
Imekaa kizamani zamani.
Unatongoza mdada wa miaka 20+ na mitongozo ya kijinga kama unarubuni mtoto wa la saba [emoji57][emoji57][emoji57][emoji57].
Silaha mnazotumia ni zile zile, hamna jipya.
Wengine mnatumia nguvu nyingi kama mnalima, hadi anayetongozwa anavuja jasho.
Ila kuna wanaume wanajua kutongoza bhanaa, hadi unasikia raha. (Wapo mikoani tuu)
Tupia hiyo mistar kwa faida ya wanajamvi
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hahaha mgeni kule utapata tabu sana kuwazoea.
Ila kwa sisi tuliokulia kule tushazoea hata matusi hatuyasikii tunaona ni maneno ya kawaida.
Sema nini inategemea sehemu na sehemu kuna sehemu za kistarabu ambazo watu wake wastaarabu.
Sikukuu nikupeleke ukaoneee
Nimepakumbuka Mto wa Mbu... Kule ni mkoani ivi ee[emoji23]
 
Sio kweli inategemea na mwanaume anajitunza vipi, na vyakula anavyokula. Huwezi amini babu yangu ana 75 years lakini bado anakula vibinti vibichi, while bibi yeye alishachoka
Babu yako kwere mkuu....at 75 bado anakula vijukuu vyake[emoji15] [emoji23] [emoji15] ....mwambie umri huo kupata LUKU ni uzwazwa wa kiwango cha makinikia!
 
Back
Top Bottom