Raha ya mtoto wa kike kutongozwa na fahari ya mwanaume kutongoza!

Raha ya mtoto wa kike kutongozwa na fahari ya mwanaume kutongoza!

Kutongoza ni shule inabidi usome. Pia lazima ujue huyu demu ni wa kuliwa lini? Dk hiyo,saa hiyo,mwezi,mwaka huo au baada ya muda gani ukishajua huwi na haraka. Kikubwa hizi papuchi unakua nazo nyingi kwenye mzunguko ili mpaka yule anaependa kusubirisha ukija kumpata unakuwa umekula hamsini na kitu. Kutongoza uoajibiwa mbaya ni kawaida ila ukiwa na wanawake kama 55 unawapitia pitia mshenzi mmoja akikujibu hovyo hata haiumi maana katika hao wa kwako kuna kumi wakali zaidi yake hivo unavuta subira ukingoja siku tu umuingize mkenge tena na akiingia siku ukimla unamkumbusha huo ujinga wake.


Tahadhari michepuko sio dili na UKIMWI UNA UA. Mwisho kabisa kuna Kaswende,Gono,Kisonono,Fangasi,U.t .i na Gonoria ila jipe moyo maana nyingi ya hivo zinatibika.



MUNGU hapendi UZINZI
 
Big up mkuu sababu tayari moyo wake haupo kwako
Acha uongo, shida sio mitongozo shida ni kuwa huyo mkaka anaekutongoza unakuwa hujampenda/hujavutiwa nae ndo maana huwa mnajibu fyongo..kama ukimpenda mkaka hata akija na gia za, "usiku silali, nikinywa maji kwenye glass nakuona" mbona utamkubali fasta tu tena utamuona yupo romantic

Hlf sometimes mdada akitongozwa sana anajiona mzuri, kiburi na maringo vinapanda kwahiyo anawaona most of men kama vikaragosi cute b
 
Aisee kama mimi tu hatari akakupa makavu sana
mi kuna binti nilikua nasoma nae bhana sasa nilikua nimemuelewa sana kama kawaida ukimpenda mtu huwezi kujizuia kumkodolea macho mara kwa mara ,cha ajabu sasa kila nikimuangalia namkuta na yeye ananitazama,moyoni nikajisemea huyu shorii atakua amenielewa pia daah what a coincidence?..basi siku nimejipanga hatari nikapiga moyo konde kwenda kumsemesha mrembo daah kumbe huo ni mtego ili nijilengeshe aiseee aloo kilichonikuta aisee nilipewa vya mbavuu ilibidi nipige pozi kutongoza mwaka mzima kwanza nijiulize nakosea wapi au nina gundu..wanawake nyie shenzi sanaaa...
 
Kujibiwa vibaya inategemea umetongozaje. Ukija kistaarabu lazima upewe jibu LA Nina bf kwa upole kabisa ila unatongoza MTU Kama unamuomba uhai Bob lazima uletewe dharau uache kusumbua. Mngejua inavyokera kutongozwa Na mtu usie Na mpango nae halafu kila ukimkataa anajifanya haelewi mngetuelewaga tu wakati mwingine ukiona unadharaulika


Kuna demu nlimuanzia kwa gia ya kumuomba namba ya simu, akaniambia hana simu, nlikosa pozi ikabidi nimuulize anavaa viatu namba ngapi..ingawa sikumtongoza direct, tangu siku hiyo alivoninyima namba ya simu, mm na huyo demu ni kama mbingu na ardhi, simba na chui, kenge na mamba..hadi njia mimebadilisha, sikumsumbua tena, uzuri wangu ni kuwa mm si king'ang'anizi.. Mzigua90
 
Kutongozana mpaka miaka ya Leo???? [emoji4][emoji4][emoji4] nakumbuka miaka ya nyuma unamtongoza demu anakujibu ombi lako nitarifikilia [emoji23][emoji23][emoji23]
Siku hizi akikupa tu namba unamtoa out baada ya hapo ni demu wako
 
Kweli kabisa mleta maada inabidi ajiangalie huenda anatumia mbinu ambazo wanawake hawazipendi

Mf usiombe ukutane na mwanaume mhaya jamani kha!wanasifa wale watu balaa unamtongoza mwanamke unajimaliza kabisa,unajielezea maisha yako,mipango yako wakati hata bado hajakukubali

Badirikeni,muwe na mbinu flani za kuamsha hisia.


Dah nakumbuka mara ya kwanza mm kukataliwa na mwanamke, tumbo na mkojo vilinibana ghafla, niliingia msalani kwa pupa, nilikojoa bila kulenga tundu huku nikijamba mfululizo bila kujizuia Zainabu002
 
Mimi tangu nianze kutongoza, alinikataa mwanamke mmoja tu ambae alisisitiza msimamo ananiheshimu kama kaka yake. Mm nikatulia weee alirudi kwa gia ya hatari, hili lilinishangaza sana kwakua hakuna demu niliyemtaka huko nyuma akakataa.
Kiukweli wanaume wenzangu wengi hatujui kutongoza kabisa siku hizi, wengi hawajiamini, hawana maneno matamu ya kumlainisha mwanamke, MIMI hakuna mwanamke ambaye niliye mkubali mpka leo hii nisimlainishe na nikamla, sisemei hawa wa mitandaoni mf. JF ambao hata siwajui sura, wala hawanijui, Kutongoza ni sayansi ambayo wachache ndio wanaiweza.
Na mara nyingi, siku hizi watu hawajui kusoma nyakati wanapoanza kutongoza, na wakati unakuta ukiweka maudambu fulani tu mwanamke mwenyewe anajitongozesha, sasa hapo ndio sector ya wewe kutumia ka utalaamu kidogo tu kuweza kubeba mwanamke.

NB: mpaka sasa hakuna mwanamke niliewahi mtongoza akagushi, hakuna mwanamke niliyewahi mtongoza nisimle na dushee langu.
ZAIDI, Kamwe siwezi tumia maneno ya kuyongoza kwa mwanamke ambaye sijamkubali, hao hua unaweka mazingira rshisi alafu anajileta unalala naye mbele mchezo umeisha.
 
Kutongozana mpaka miaka ya Leo???? [emoji4][emoji4][emoji4] nakumbuka miaka ya nyuma unamtongoza demu anakujibu ombi lako nitarifikilia [emoji23][emoji23][emoji23]
Siku hizi akikupa tu namba unamtoa out baada ya hapo ni demu wako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna ukweli hapo, siku hizi wasichana wanajirahisisha sana. Kama ukiwa na nia ya kumpa dushee, unaosha nao sana tu unaweza miliki hata 20 kwa mwezi hawa viumbe siku hzi hatutumii nguvu kabisa
 
Bora ukutane na mwanamkebakakujibu vibaya kuliko yule anae kubali baadae kula mzigo utabembeleza mpaka ukate tamaa mwenyewe
 
Back
Top Bottom