Raha ya mwanamke awe na akili za kitoto sio unakuwa na mwanamke akili nyingi mpaka anafatilia mpaka vita vya Ukraine

Hapo nimekupadmta iyo ni haiba ya kike, hizi sampuli ziko nyingi tu, Wengine wanakifanya kitu flani hawajui ili tu akupe aone unafanya kwaajili yake anajiskia raha ni mapenzi hayo mkuu
 
Msela wanakula🤣
Wengi wao wanapenda kuhongwa iwe hela, nyumba, gari, cheo n.k; ukitaka ufike mbali tafuta mwanamke mwenye akili za kiutu uzima, hatotaka kutumia hela yako zaidi ya penzi tu.​
 
Nina huyo ni mteja wangu nimeanza tu kuvutiwa nae ila ni MECHANICAL Anachomelea vyuma huyo sio poa.

yeye ni anajua vitu vya ufundi ufundi sio Kawaida, kashakuja kazini kuinstal CAMERA peke ake, Madish ya ving'amuzi vyote anafunga mwenyewe, anajua tumia hadi finder

Juzi kanipgia simu ananiuliza kama nina RJ 45 pin nikasema TOBAAA kiufupi, sema Mzuri bwana mate mimi mwagika mwagika nikimuona.
 
Wengi wao wanapenda kuhongwa iwe hela, nyumba, gari, cheo n.k; ukitaka ufike mbali tafuta mwanamke mwenye akili za kiutu uzima, hatotaka kutumia hela yako zaidi ya penzi tu.​
Mm nikigundua mwanamke ni bogazi auto tu siwezi kuwa nae hata awe mzuri vipi asee
 
Age inarange ngapi kwa kukadiria?
 
Wanaboa ila ki ukweli sometimes inapokuja swala la WIFE MATERIAL binafsi natamani mwanamke wa ivyo.

sio mtu ananiuliza hadi Rais wa kenya ni nani,asee hapana... MKE akiwa hajui sana vitu unatengeneza mitoto mijinga mijinga isiyojielewa.

angalia mitoto ya ZAMARADI ina mi akili akili sababu mama yao ndio hao wanawake wafatilia mavita ya URUSI na ma uchaguzi ya MAREKANI..

BRIGHT WIFE = CLEVER CHILDREN men we need them ila hata aweje kuna namna atarudi kwa default setting zake Mungu alizomuumbia mkiwa pamoja.

Tofaut na Hapo brother una date na DUME mwenzio nivile K ilienda kwake bahati mbaya.
 
Binafsi am attracted to intelligence, Uzuri unafata ila kichwani pakiwa vizuri nadhani ni 1 ya silaha ambayo mwanamke mwenye nayo anaweza nipeleka atakavyo.

Napenda mwanamke Akili nyingi,mtu ninaeweza Muomba ushauri atakaeweza nipa solution ya vitu vigumu ninavyopitia aniambie pita hapa tokea kule fanya hivi usifanye kile na nikifata atakavyo kweli Natoboa.

Hawa wa ndio ndio ndio sawa sawa sawa au Pole babe sasa utafanyaje asee wananikata...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…