Raha ya sisi tulio kwenye ndoa

Raha ya sisi tulio kwenye ndoa

Kumbuka Kuna usemi unasema Ndoa ndoana , japo sipo kwenye gem lkn Lisemwalo lipo....
Ila in cost Wise hapo nakubaliana na ww coz ukifikiria Mpka dem afike magghetoni ushaspend almost 50 to 100+ kwa Duu High class , asa akija mara 3 au 4 kwa mwezi its cost full afu at the same time unazini yani its cost full kisa Mbunye tuu ,ukiaja kwnye Vitabu vya dini vinasema "Mwanume mpumbavu na asie na akili ni yule anezini" ....
Think twice b4 U enter the game...
 
kika mkuu
 
Wivu gani my dear?

Yaani watu bwana,unapotoa the real observation wanaishia kusema wivu,ndio jibu rahisi na fasta kukwepa mjadala!

Wivu kwa maana watu hawana ndoa?Au hawana spouses?

The problem is,everybody has.....

Ni kama mtu upo uje hapa ufungue uzi kujisifia una PUA wakati wanadamu wana pua the same way,kuanza kujisifia pua yako shows how obnoxious you are of which does not make any sense!

Wanaume wote wanajisifia wake zao,na mapenzi ya vyumbani mwao ni vibamia au weaker males kujaribu kujionesha na wao wamo,we real men who take care of business hatuna haja ya kueleza watu how we handling our women to anybody....
sawa bna
 
Uko possessed wewe, kama hutafunguliwa, hutakaa uwe kwenye ndoa iliyotulia.

Vv
Niko possessed na nani mzee?

Umetumia kipimio gani?

Wyatt Mathewson is a property of Wyatt Mathewson,nobody owns me!

Nachoongea hapa,its me,the motherfvcken Wyatt not a representative!

I have well functioning marriage to a nice lady and I can handle my business well na siwezi ongea mbele za watu kutafuta approval yao kwa kuongelea how wonderful my love life is.

Possessed ni wewe binafsi,no one controls me!
 
Mkuu kua makini kuna wengine wana google!
 
wewe inaonekana hata kuoa hujaoa, japo sikupingi nakubali ndoa ukimpata alie sahihi kama Mr. Leo wangu ni kama peponi wallah tena 😀
 
Wana JF jamani tuseme ukweli sisi tulio kwenye ndoa ni kama tuko paradiso ndogo; hakuna kuhangaikia tena kutafuta au kupigwa kalenda, yaani nikiingia tu ndani naambiwa "karibu baby, unakula kwanza au utakula baadae ukimaliza kula" yaani mpaka raha.
Kwa uzowefu wangu kwenye ndoa.... Haupaswi kujivunia, bali unapaswa kumshukuru Mungu.
Ndoa haijawahi kuwa na mjanja
 
Ukiona mwanaume anakaa kusifia ndoa au mke wake hadharani excessively ujue huyu jamaa ana vibamia au ana sexual weaknesses humo ndani....ana cover kuhubiri how wonderful their wives are!

Watu wa namna hii,ni kama ndoa wamebahatisha sana,au ni weaker beta males,au ni mpya kwenye ndoa na yupo overwhelmed na new experience.....

Mke wangu this,mke wangu that,mume wangu this,mume wangu that,ndoa yangu vile,ndoa yangu hivi,etc ni very awkward commentaries of which makes people wonder
Mkuu, wape hawa watu hata nafasi ya 1% kwamba wanafurahi kwa sababu wame punch above their weight, wame marry up, above their station or expectations, wame shinda the marriage lottery, wako pussy whipped, etc.

Au pengine wanafanya some kind of social experiment kuona utaandika nini siku mtu akija na topic ya ndoa isiyo na tatizo. Maana kwa kiasi fulani habari nyingi za ndoa ni za matatizo. Sasa angalia mtu asije kukuchezea akili kuona tu utaandikaje.

Binafsi, mambo ya ndoa naona yanatakiwa kuwa ya faragha sana.

Mabaharia wanajua kumsifia sifia sana mke, kupita kiasi hadharani, kwa mtu asiye mwanasiasa (hao ni sehemu ya kazi yao katika kutongoza kura) inawezekana ni kualika fisi wanaotaka kuonja mpaka sumu!

Lakini pia, mimi napenda kumpa kila mtu uhuru wa kujieleza kwa kujinafasi, kama vile ninavyopenda wengine wanipe uhuru huo mimi vilevile.
 
Ukiona mwanaume anakaa kusifia ndoa au mke wake hadharani excessively ujue huyu jamaa ana vibamia au ana sexual weaknesses humo ndani....ana cover kuhubiri how wonderful their wives are!

Watu wa namna hii,ni kama ndoa wamebahatisha sana,au ni weaker beta males,au ni mpya kwenye ndoa na yupo overwhelmed na new experience.....

Mke wangu this,mke wangu that,mume wangu this,mume wangu that,ndoa yangu vile,ndoa yangu hivi,etc ni very awkward commentaries of which makes people wonder
Wako watu wanaosifia na hawana kasoro yoyote kama una kitu kizuri kwa nini usisifie, wengine kwao kusifia ni hulka itabidi uzoee tu. Kuna wengine kusifia ni kipaji . Kuna wengine wanasifia kuficha mapungufu kweli ila rohoni wanaumia. Hao ndio binadamu
 
Wana JF jamani tuseme ukweli sisi tulio kwenye ndoa ni kama tuko paradiso ndogo; hakuna kuhangaikia tena kutafuta au kupigwa kalenda, yaani nikiingia tu ndani naambiwa "karibu baby, unakula kwanza au utakula baadae ukimaliza kula" yaani mpaka raha.
Hii ndoa changa.
 
Ukiona mwanaume anakaa kusifia ndoa au mke wake hadharani excessively ujue huyu jamaa ana vibamia au ana sexual weaknesses humo ndani ana cover kuhubiri how wonderful their wives are!

Watu wa namna hii,ni kama ndoa wamebahatisha sana,au ni weaker beta males,au ni mpya kwenye ndoa na yupo overwhelmed na new experience.

Mke wangu this,mke wangu that,mume wangu this,mume wangu that,ndoa yangu vile,ndoa yangu hivi,etc ni very awkward commentaries of which makes people wonder
Ndoa ni taasisi takatifu, acha kuleta maneno ya kuchafua ndoa na kuhalalisha uzin*nzi
 
Ehh,sawa mtakatifu alieweka picha ya uume kwenye picha ya ID yake!

This shows how sick your brain is!

Halafu upo hapa unahubiri utakatifu!

Kwahiyo kwenye post yangu nimeshabikia uzinzi?How?

Nimesema mwanaume anaekaa kila saa anamsifia mwenza wake publicly excessively ana matatizo anaficha somewhere,aidha ana kibamia au sexually kuna mapungufu as a man.

All men who take care of business,hawana haja ya kukaa majukwaani kusifia ndoa zao kutafuta approval ya watu kwamba wapo heaven,they who they are and what they are capable off,na hawana haja ya ku-seek any approval from anyone on his bedroom performances!

Niggas will never learn anything!

Look at 'em!
 
Wivu gani my dear?

Yaani watu bwana,unapotoa the real observation wanaishia kusema wivu,ndio jibu rahisi na fasta kukwepa mjadala!

Wivu kwa maana watu hawana ndoa?Au hawana spouses?

The problem is,everybody has.....

Ni kama mtu upo uje hapa ufungue uzi kujisifia una PUA wakati wanadamu wana pua the same way,kuanza kujisifia pua yako shows how obnoxious you are of which does not make any sense!

Wanaume wote wanajisifia wake zao,na mapenzi ya vyumbani mwao ni vibamia au weaker males kujaribu kujionesha na wao wamo,we real men who take care of business hatuna haja ya kueleza watu how we handling our women to anybody....

Acha wivu.
 
Wana JF jamani tuseme ukweli sisi tulio kwenye ndoa ni kama tuko paradiso ndogo; hakuna kuhangaikia tena kutafuta au kupigwa kalenda, yaani nikiingia tu ndani naambiwa "karibu baby, unakula kwanza au utakula baadae ukimaliza kula" yaani mpaka raha.
Hatudanganyiki ng'ooooooo
 
Back
Top Bottom