Daudi1
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 12,444
- 18,741
ni upotevu wa nguvu kazi, wanawake huwa hawatosheki, anaweza akawa na nguo nyingi kuliko mwanaume na bado asione nguo ya kuvaaUtelezi tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni upotevu wa nguvu kazi, wanawake huwa hawatosheki, anaweza akawa na nguo nyingi kuliko mwanaume na bado asione nguo ya kuvaaUtelezi tu
alafu ndio tanzania ipige hatua ya maendeleo,asubuhi vijana wanawaza ngono tu,dah,acha dawa za ukimwi ziondoke,tuone watakavyonyauka..Habari za asubuhi.
Kila mwanaume mwenye homoni za kiume ni mtu mwenye kutamani wanawake Muda wote.lakini haikupi uhalali wa kuwa nao.
Wapo utatamani kushiriki nao ngono ,lakini mwingine utamuacha aende tu .
Bahati mbaya wanawake wengi wamejenga dhana kwamba mwanaume ni mtu mwenye kutamani Sana uchi.hii imewafanya kuharibu mahusiano au ndoa.kwani kila unapomkosea silaha yake ni kukunyima.
Leo tuangalie cha kufanya Kwa hawa wanawake ukitaka usiwe mwenye kunyimwa mara Kwa mara.
1.Mbembeleze Kwa maneno matamu.
Wengi tumekariri pesa ndiyo kila kitu mpaka tumeharibu ndoa Kwa kudhani mwanamke anapenda pesa pekee.jidanganye.ikiwa utamzingua na kudhani pesa na vijawadi vitamfanya akusamehe, siyo atakula pesa na ataenda kumpa uchi mtu mwingine.
2.Mpe muda.
Kumpa muda mwanamke siyo tu,ukiwa ofisini kwako mpigie simu,mtext,hii huongeza upendo na kuhisi unampa huo muda.
Angalizo ,inategemea mnaishije wengine kumpigia simu kila mara anahisi unamfuatilia mishe zake
3.Omba msamaha wa maneno ukikosea.
Kuna wanaume hata akosee vipi haombi msamaha yeye yupo tayari kutoa hata pesa ndefu lakini siyo kutamka NISAMEHE MKE WANGU.
Msamaha wa maneno una nguvu mno humfanya mwanamke ajihisi mwenye kuthaminiwa na kuheshimiwa.
Ikiwa mkeo ukimkosea halafu anataka umpe kitu ,pesa ndipo akusamehe ni dhahiri ndoa yenu ipo hatua mbaya.
4.Mtoe out ,mpeleke sehemu zenye mademu wakali
Hii itakupa pointi tatu,na kuhisi unamuamini na kumthamini
5.Muonye akikosea (foka,toa macho,kunja uso ila usimpige.
Usiwe muongeaji Sana maneno machache yanaeleweka,kunakoendeleq utaonekana Una gubu.
6.Mtambulishe Kwa jamaa na marafiki haswa wale wa kike.
Utamfanya ajisikie huru kuwa na wewe,( kuna watu hawajawahi kuongozana au kuwatambulisha wake au waume zao)
7.Piga mashine, hakikisha mkeo anaridhishwa na kuenjoy akiwa na wewe,tena kama anakupenda na ana hisia na wewe basi ndani ya dakika chache mshafurahi,mnaoga zenu mnaendelea na mambo mengine.pia mpe pole.kwani ile ni huduma na kimsingi anayeenjoy ni mwanaume,(ukipinga tafiti,fanya tafiti)
8.Usipende kumuongelea au kumsifia KE yeyote mbele ya mkeo.
9.Ukipigiwa Simu yeyote na mwanamke,pokea hata mbele ya mkeo,hata kama ni ya mchepuko,badilisha maongezi kitaalamu tu,uzuri michepuko wengi ni waelewa. (Usidate na mtu asiyeheshimu ndoa yako)
10.Mtunze mkeo,
Usipomtunza atatunzwa na wakware wa mjini
Chukua yanayokufaa
Kwa nini uzunguke kufanya yote hayo?Akupe nini tofauti na pussy
Mapema ya nini ,kuna walinzi wa night shift ndiyo tunatoka jobMbona mapema sana!
Mwanaume kaumbiwa mateso na majukumu,kama kuwajibika huwezi ,utawajibishwaKwa nini uzunguke kufanya yote hayo?
Siyo CCM atoke madarakaniSuluhisho la kweli ni katiba mpya...
Yaani ufanye yote hayo kutafuta mbunye tu? utakuwa upotevu wa mudaMwanaume kaumbiwa mateso na majukumu,kama kuwajibika huwezi ,utawajibishwa
Wapi nimeandika nipo busy? Issue ni kuwaza ngono asubuhi asubuhi hata chai umekunywa kweli?Kama upo bize kwanini ,umefungua hii post 🤣
Nakula pale napojisikia njaa,na siyo Kula Kwa kufuata ratiba zenuWapi nimeandika nipo busy? Issue ni kuwaza ngono asubuhi asubuhi hata chai umekunywa kweli?
Tunashukuru Sana wewe ni mfano wa kuigwaKatika hayo, nimeweza kuyafanya mambo mawili tu, lakini huu ni Mwaka wa 60 nipo nadunda na Bibi yenu 🤗
No wonder!Nakula pale napojisikia njaa,na siyo Kula Kwa kufuata ratiba zenu
Mkuu umalaya hauna faida yeyote zaidi ya hasara,kupoteza rasilimali,kupoteza marinda na heshima yako kupoteaBoss katika hili napingana na wewe! Siwezi fanya haya kubembeleza uchi ambao upo available sana huko nje...mda mwingine unakuta anakunyima wewe anaenda kubless kwingine!
Maisha ni mafupi sana hamna muda wa kujinyenyekeza Kwa mtu kikubwa mwanaume atimize nafasi yake na mwanamke pia mkikosana zungumzeni mkishindwana kila mtu amove on
😀Hivi sasa ni Saa tatu na nusu asubuhi. 😅
Acha USAID waondoke tu 😂
Ukiwatazama wanawake Kwa kujilinganisha nao huwez kuishi na wanawakeni upotevu wa nguvu kazi, wanawake huwa hawatosheki, anaweza akawa na nguo nyingi kuliko mwanaume na bado asione nguo ya kuvaa
Hatutoboi mkuu😆Hizi ndio nyuzi za maana sasa....😜
Kwa mwendo huu lazima tupate maendeleo hata bila USAID ya Trump na Elon...🤣
😂😂😂 ila wee jamaa Sasa unamwambia mwanaume mwenzako masuala ya kupoteza marinda yanahusiana vipi na umalaya wake.Mkuu umalaya hauna faida yeyote zaidi ya hasara,kupoteza rasilimali,kupoteza marinda na heshima yako kupotea
Shukrani sana Mkuu, katika hayo tunaweza kuhitimisha kwamba kuishi na Mwanamke hakuna formula maalumu isipokuwa akili.Tunashukuru Sana wewe ni mfano wa kuigwa