Raha ya tendo na heshima kwa mwanaume

Raha ya tendo na heshima kwa mwanaume

Shukrani sana Mkuu, katika hayo tunaweza kuhitimisha kwamba kuishi na Mwanamke hakuna formula maalumu isipokuwa akili.

Ndiyo maana Kuna Kitabu fulani cha mambo ya Imani, kimesisitiza kwamba Wanaume tuishi na Wanawake zetu Kwa akili.
True,ni jinsia yenye mapungufu Sana
 
Umaskini ni mbaya sana, sbb unaharibu hadi mawazo bora ya maendeleo, badala ya ku invest kwenye mawazo ya maendeleo una invest kwa wanawake and how to do ngono
 
Point ila ni mapema mno ila namba 8 sitoisahau kwani nilifanya kosa hilo kukatokea mtafaruku wa kufa raia yaani hakuelewa kabisa ila kufanya hivo ni kukosa heshima mbele ya mwenza wako
Hapa nsio nashindwa kuelewaga binadamu. Sasa kwani hamna wanake wanaomzidi uzuri...yaani kapita demu ana tako zuri nisisifie wakati ndio ukweli wa mambo.
Ata yeye asifie tuu kama kuna jamaa handsome kuliko mie amepita hapo mbele ndio ukweli dunia i tunazidiana hilo halikwepeki
 
Umaskini ni mbaya sana, sbb unaharibu hadi mawazo bora ya maendeleo, badala ya ku invest kwenye mawazo ya maendeleo una invest kwa wanawake and how to do ngono
Usichojua ni kwamba kila kitu kina wakati wake,na lazima kijadiliwe,nafanya kazi huku naperuzi,kama kazi yako haikuruhusu kutumia simu ,hicho ni kibarua.

Anyway ,wewe mwenzetu unayepiga kazi, Forbes wanakujua?

Ulishawahi kukaa kikao kimoja na Mi dewji,?

Ulishawahi,agiza mzigo ,meli nzima?

Una uwezo wa kukodi fast jet,kurahisisha mizunguko yako?

Una uhakika siku ukifa Rais wa nchi atatangaza msiba wako?

Jamiiforum ina majukwaa mengi jaribu kupita kushoto ukiona threads za hivi.
 
Mkuu umalaya hauna faida yeyote zaidi ya hasara,kupoteza rasilimali,kupoteza marinda na heshima yako kupotea
Mwanamke akiianza kukunyima/kutumia uchi kama silaha ya kukunyoosha hamna mapenzi tena ondoka haraka, usijitese Kwa kuganda mtu kisa ukimove utaonekana malaya
 
Watu wa jf n kama kondo o,yaan wa kwanza wakiponda wote wanafata hvyo hvyo

Umesema ya msingi sana ila vichwa maji wanashupaza shingo tu
 
Hapa nsio nashindwa kuelewaga binadamu. Sasa kwani hamna wanake wanaomzidi uzuri...yaani kapita demu ana tako zuri nisisifie wakati ndio ukweli wa mambo.
Ata yeye asifie tuu kama kuna jamaa handsome kuliko mie amepita hapo mbele ndio ukweli dunia i tunazidiana hilo halikwepeki
🤣🤣 Nakumbuka wakati nipo kijijini miaka mingi iliyopita tupo watoto kuna mwanamke alikuwa mzuri ajabu sijui alitoka wapi Yule nadhani alikuja na msafara wa rais mwinyi ,akakatikia pale kijijini kwetu

kuna mmama akamwambia mumewe kwanini usimuoe Yule awe mke mwenzangu,Mzee akawa anasuasua ,mke mtu akaingia Mazima a kamwambia nimekupenda naomba uolewe na mume wangu.

Siyo utani mpaka Leo hii wapo wote Mzee na wake wawili
 
Watu wa jf n kama kondo o,yaan wa kwanza wakiponda wote wanafata hvyo hvyo

Umesema ya msingi sana ila vichwa maji wanashupaza shingo tu
Wachukue yanayowafaa,
Kizazi hiki ni vijana wachache wanaweza kuishi na mke,mke anakereketa kama pilipili umeikalia nyingine ipo machoni unashindwa ukune wapi
 
Hizi nyuzi hazipandi mida hii ya kubeba tofali tutasoma usiku mida ya puchu
 
🤣🤣 Nakumbuka wakati nipo kijijini miaka mingi iliyopita tupo watoto kuna mwanamke alikuwa mzuri ajabu sijui alitoka wapi Yule nadhani alikuja na msafara wa rais mwinyi ,akakatikia pale kijijini kwetu

kuna mmama akamwambia mumewe kwanini usimuoe Yule awe mke mwenzangu,Mzee akawa anasuasua ,mke mtu akaingia Mazima a kamwambia nimekupenda naomba uolewe na mume wangu.

Siyo utani mpaka Leo hii wapo wote Mzee na wake wawili
Ewaa sasa huyo ndio mke. Mke akiona kifaaa kizuri inabidi apambane mume ampate huyo mwanamke sio kununa nuna tuu na gubu
 
Back
Top Bottom