Raha ya tendo na heshima kwa mwanaume

alafu ndio tanzania ipige hatua ya maendeleo,asubuhi vijana wanawaza ngono tu,dah,acha dawa za ukimwi ziondoke,tuone watakavyonyauka..
 
Boss katika hili napingana na wewe! Siwezi fanya haya kubembeleza uchi ambao upo available sana huko nje...mda mwingine unakuta anakunyima wewe anaenda kubless kwingine!

Maisha ni mafupi sana hamna muda wa kujinyenyekeza Kwa mtu kikubwa mwanaume atimize nafasi yake na mwanamke pia mkikosana zungumzeni mkishindwana kila mtu amove on
 
Mkuu umalaya hauna faida yeyote zaidi ya hasara,kupoteza rasilimali,kupoteza marinda na heshima yako kupotea
 
ni upotevu wa nguvu kazi, wanawake huwa hawatosheki, anaweza akawa na nguo nyingi kuliko mwanaume na bado asione nguo ya kuvaa
Ukiwatazama wanawake Kwa kujilinganisha nao huwez kuishi na wanawake
 
Mkuu umalaya hauna faida yeyote zaidi ya hasara,kupoteza rasilimali,kupoteza marinda na heshima yako kupotea
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ila wee jamaa Sasa unamwambia mwanaume mwenzako masuala ya kupoteza marinda yanahusiana vipi na umalaya wake.
 
Tunashukuru Sana wewe ni mfano wa kuigwa
Shukrani sana Mkuu, katika hayo tunaweza kuhitimisha kwamba kuishi na Mwanamke hakuna formula maalumu isipokuwa akili.

Ndiyo maana Kuna Kitabu fulani cha mambo ya Imani, kimesisitiza kwamba Wanaume tuishi na Wanawake zetu Kwa akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…