Jack Daniel
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 2,912
- 12,904
- Thread starter
-
- #41
True,ni jinsia yenye mapungufu SanaShukrani sana Mkuu, katika hayo tunaweza kuhitimisha kwamba kuishi na Mwanamke hakuna formula maalumu isipokuwa akili.
Ndiyo maana Kuna Kitabu fulani cha mambo ya Imani, kimesisitiza kwamba Wanaume tuishi na Wanawake zetu Kwa akili.
Hakika, ni watu ambao mara zote huendeshwa Kwa hisia zaidi kuliko bongo zaoTrue,ni jinsia yenye mapungufu Sana
Hapa nsio nashindwa kuelewaga binadamu. Sasa kwani hamna wanake wanaomzidi uzuri...yaani kapita demu ana tako zuri nisisifie wakati ndio ukweli wa mambo.Point ila ni mapema mno ila namba 8 sitoisahau kwani nilifanya kosa hilo kukatokea mtafaruku wa kufa raia yaani hakuelewa kabisa ila kufanya hivo ni kukosa heshima mbele ya mwenza wako
Usichojua ni kwamba kila kitu kina wakati wake,na lazima kijadiliwe,nafanya kazi huku naperuzi,kama kazi yako haikuruhusu kutumia simu ,hicho ni kibarua.Umaskini ni mbaya sana, sbb unaharibu hadi mawazo bora ya maendeleo, badala ya ku invest kwenye mawazo ya maendeleo una invest kwa wanawake and how to do ngono
Mwanamke akiianza kukunyima/kutumia uchi kama silaha ya kukunyoosha hamna mapenzi tena ondoka haraka, usijitese Kwa kuganda mtu kisa ukimove utaonekana malayaMkuu umalaya hauna faida yeyote zaidi ya hasara,kupoteza rasilimali,kupoteza marinda na heshima yako kupotea
🤣🤣 Nakumbuka wakati nipo kijijini miaka mingi iliyopita tupo watoto kuna mwanamke alikuwa mzuri ajabu sijui alitoka wapi Yule nadhani alikuja na msafara wa rais mwinyi ,akakatikia pale kijijini kwetuHapa nsio nashindwa kuelewaga binadamu. Sasa kwani hamna wanake wanaomzidi uzuri...yaani kapita demu ana tako zuri nisisifie wakati ndio ukweli wa mambo.
Ata yeye asifie tuu kama kuna jamaa handsome kuliko mie amepita hapo mbele ndio ukweli dunia i tunazidiana hilo halikwepeki
Akina nani hao cocaWahusika wamekusikia, wanakujaa.
Wachukue yanayowafaa,Watu wa jf n kama kondo o,yaan wa kwanza wakiponda wote wanafata hvyo hvyo
Umesema ya msingi sana ila vichwa maji wanashupaza shingo tu
Napenda aina ya unavyocomment, unaonekana mpole usiye na mdomomdomo eti🤣Duh aiseee
its important but not an issue, Nimechangamsha tayari ngoja nikachangamshe mtuUnaitwa hapa uchangamshe ubongo Certified Hater 😀
🤣its important but not an issue, Nimechangamsha tayari ngoja nikachangamshe mtu
😀😀 nisamaraizie basi..its important but not an issue, Nimechangamsha tayari ngoja nikachangamshe mtu
Wafanyaji wa hilo Tendo.Akina nani hao coca
Ewaa sasa huyo ndio mke. Mke akiona kifaaa kizuri inabidi apambane mume ampate huyo mwanamke sio kununa nuna tuu na gubu🤣🤣 Nakumbuka wakati nipo kijijini miaka mingi iliyopita tupo watoto kuna mwanamke alikuwa mzuri ajabu sijui alitoka wapi Yule nadhani alikuja na msafara wa rais mwinyi ,akakatikia pale kijijini kwetu
kuna mmama akamwambia mumewe kwanini usimuoe Yule awe mke mwenzangu,Mzee akawa anasuasua ,mke mtu akaingia Mazima a kamwambia nimekupenda naomba uolewe na mume wangu.
Siyo utani mpaka Leo hii wapo wote Mzee na wake wawili