Kristonsia Nkya
JF-Expert Member
- Jun 24, 2013
- 302
- 292
[emoji179]Chumvi ikizidi kwenye wali weka kiazi mviringo katikati kikiwa kimemenywa chumvi itapungua.
[emoji179]Kama choo chako, kina harufu, ya mkojo na huna dawa washa kiberiti chooni harufu itakwisha
[emoji179]Chukua ganda la limao lichome na vipisi vya karafuu weka kila pembe ya chumba mbu utawasikia kwa jirani
[emoji179]Kutoa harufu kwenye wali uliongua weka kipande cha mkaa harufu ya kuungua itakata
[emoji179]Kama umepika mchuzi upo maji maji yaani mwepesi labda maji yamezidi chukua kiazi kikune na cha kukunia nyanya weka chuzi litakuwa rost
[emoji179]Kuivisha maharage faster chukua maji yalochemka tia maharage weka kwenye chupa ya chai funga kesho mimina kwenye sufuria pika nusu saa harage litakuwa lishaiva
[emoji179]Ukipika mchuzi vitunguu vikiungua weka sukari kidogo harufu ya kuungua haitasikika
[emoji179]Ukiamaliza kuosha vyombo still wire iweke kweny maji haiharibiki utaendelea kutumia kesho
[emoji179]Big g ikiganda kwenye nguo weka kweny friza ikiganda itatoka kirahisi
[emoji179]Kuondoa harufu ya uvundo kwenye fridge weka baking soda kwenye kikombe na maji kidogo weka kwenye fridge