Gemini Are Forever
JF-Expert Member
- Sep 10, 2019
- 1,508
- 2,619
"Memory full"
Ngoja nipunguze then niweke hivi vipya.
Asante mtoa uzi.
Ngoja nipunguze then niweke hivi vipya.
Asante mtoa uzi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ungeandika na Kiswahili mkuu ili tuelewe vizuri wengine chemistry hatukusoma ,[emoji23][emoji23][emoji23]Nyigi hapo zimekaa ki sayansi zaidi..
Mfano hio ya kwanza
Lengo ni kutengeneza Mazingira ya Osmosis..
kutoka kwenye hypertonic solution kuileta kwenye Isotonic solution.
Ya pili nacho kinachofanyika ni ku mask Harufu ya kinyesi..
kiberiti kimetengenezwa kwa sulfur, ukikichoma unaleta reaction na oxygen matokeo yake ni Sulfur dioxide ambayo ni very sensitive kwenye receptors za harufu, hivyo ina comfuse receptors kuhisi harufu yake tuu,
Kwaio sio kwamba ile harufu ya kinyesi imekwisha, ila imezidiwa nguvu..
Haitofautiani sana na kazi ya carbon kwenye mkaa.
Iyo ya mbuu unachomaje ganda la limao na karafuu, unaweka juu ya mkaa unaowaka au...?Hizi mambo zinasaidia sana, hasa hiyo ya kuzuia mbu
😝😝😝Ungeandika na Kiswahili mkuu ili tuelewe vizuri wengine chemistry hatukusoma ,[emoji23][emoji23][emoji23]
Pamoja snAsante hiyo ya kwanza, nne, tano nimezitumia sana, ni vitu vidogo vidogo lakini vina umuhimu sana
Pamoja kaka tuzidi kuelimishana😝😝😝
Wali tushaona umezidi chumvi,
Na dawa ya chumvi/sukari siku zote ni maji..
Ndani ya kiazi nako kuna starch(hii haituhusu) na maji mengi tuu yasiyo na chumvi(na haya maji hasa hasa ndio yanakipa kile kiazi shape yake)
Hembu njoo hapa kwanza...
Ukimwaga maji kwenye sakafu Halafu pale sakafuni pakawa na mchanga yale maji yakakutana na ule mchanga nini kitatokea?
Hata kama pako flat utaona maji yanaenda kwenye mchanga zaidi...
Sasa chukulia huo mchanga ni chumvi..
Maji ya kwenye kiazi yatatoka yote kwenda nje kufuata chumvi,
Matokeo yake utakua umeongeza Maji kwenye wali,
Nikuulize....
Nini kinatokea ukiongeza maji kwenye chai iliyozidi sukari?..
Jibu unalo na hilo ndio lengo.
Kuna namna nyingine ya kuelezea hili ila nimachagua hii rahisi zaidi.
Asante kwa somo, si unajua tena[emoji13][emoji13][emoji13]
Wali tushaona umezidi chumvi,
Na dawa ya chumvi/sukari siku zote ni maji..
Ndani ya kiazi nako kuna starch(hii haituhusu) na maji mengi tuu yasiyo na chumvi(na haya maji hasa hasa ndio yanakipa kile kiazi shape yake)
Hembu njoo hapa kwanza...
Ukimwaga maji kwenye sakafu Halafu pale sakafuni pakawa na mchanga yale maji yakakutana na ule mchanga nini kitatokea?
Hata kama pako flat utaona maji yanaenda kwenye mchanga zaidi...
Sasa chukulia huo mchanga ni chumvi..
Maji ya kwenye kiazi yatatoka yote kwenda nje kufuata chumvi,
Matokeo yake utakua umeongeza Maji kwenye wali,
Nikuulize....
Nini kinatokea ukiongeza maji kwenye chai iliyozidi sukari?..
Jibu unalo na hilo ndio lengo.
Kuna namna nyingine ya kuelezea hili ila nimachagua hii rahisi zaidi.
Nifanye vipi superglue ikiganda kwenye nguo msaada tafadhali[emoji179]chumvi ikizidi kwenye wali weka kiazi mviringo katikati kikiwa kimemenywa chumvi itapungua.
[emoji179]kama choo chako, kina harufu, ya mkojo na huna dawa washa kiberiti chooni harufu itakwisha
[emoji179]chukua ganda la limao lichome na vipisi vya karafuu weka kila pembe ya chumba mbu utawasikia kwa jirani
[emoji179]kutoa harufu kwenye wali uliongua weka kipande cha mkaa harufu ya kuungua itakata
[emoji179]km umepika mchuzi upo maji maji yaani mwepesi labda maji yamezidi chukua kiazi kikune na cha kukunia nyanya weka chuzi litakuwa rost
[emoji179]kuivisha maharage faster chukua maji yalochemka tia maharage weka kwenye chupa ya chai funga kesho mimina kwenye sufuria pika nusu saa harage litakuwa lishaiva
[emoji179]ukipika mchuzi vitunguu vikiungua weka sukari kidogo harufu ya kuungua haitasikika
[emoji179]Ukiamaliza kuosha vyombo still wire iweke kweny maji haiharibiki utaendelea kutumia kesho
[emoji179]big g ikiganda kwenye nguo weka kweny friza ikiganda itatoka kirahisi
[emoji179]kuondoa harufu ya uvundo kwenye fridge weka baking soda kwenye kikombe na maji kidogo weka kwenye fridge
Kata hicho kipande cha nguo weka mbali na watoto!😀😀😀😀Nifanye vipi superglue ikiganda kwenye nguo msaada tafadhali