Rahisisha maisha, tumia njia hizi zitakuondolea usumbufu

Rahisisha maisha, tumia njia hizi zitakuondolea usumbufu

Naomba mnisaidia ilo Ganda la Limao unachukua bichi au lililokauka kuchoma
 
chumvi ikizidi kwenye wali weka kiazi mviringo katikati kikiwa kimemenywa chumvi itapungua.


kama choo chako, kina harufu, ya mkojo na huna dawa washa kiberiti chooni harufu itakwisha


chukua ganda la limao lichome na vipisi vya karafuu weka kila pembe ya chumba mbu utawasikia kwa jirani


kutoa harufu kwenye wali uliongua weka kipande cha mkaa harufu ya kuungua itakata


kama umepika mchuzi upo maji maji yaani mwepesi labda maji yamezidi chukua kiazi kikune na cha kukunia nyanya weka chuzi litakuwa rost


kuivisha maharage faster chukua maji yalochemka tia maharage weka kwenye chupa ya chai funga kesho mimina kwenye sufuria pika nusu saa harage litakuwa lishaiva

ukipika mchuzi vitunguu vikiungua weka sukari kidogo harufu ya kuungua haitasikika


Ukiamaliza kuosha vyombo still wire iweke kweny maji haiharibiki utaendelea kutumia kesho
big g ikiganda kwenye nguo weka kweny friza ikiganda itatoka kirahisi


kuondoa harufu ya uvundo kwenye fridge weka baking soda kwenye kikombe na maji kidogo weka kwenye fridge



Ukiipenda mpe mwenzio
 
Last edited:
Friji ikiwa inatoa harufu weka kipande cha mkaa..harufu inasepa
 
Usiharibu ili utumie mbinu hizi tafsdhali, usije juta
 
umesahau hii, ukimtaka mwanamke anayejielewa mkaribishe kwako...utamla on a first date

ukitaka kumtongoza bosi wa kike na umpate (85% guaranteed), mpe idea ya biashara (itafanya muspend muda mwingi pamoja)

ukitaka uuze kwenye biashara yako, ajiri wanawake (ila kumbuka kufukuza mmoja baada ya mwingine na kureplace kila anapochuja), biashara za entertainment inafaa sana k.v. bar, hotel, etc

ukitaka kuoa ndani ya wiki 2 (yaani mmetongozana leo, kesho ukachapa, na unataka kuoa instantly kwasababu zako maalumu), tumia mda mwingi ukimlisha matango huyo demu (mwambie utakavyokuwa baba mzuri, weka mikakati ya shule za watoto, jinsi utakavyolea familia)...kisha malizia kwa: avunge mmekutana 2 years.

ukitaka uchawi na urogi na laana na maeno mabaya wanayokunuia yasikudhuru na usishambuliwe kiroho...kuwa gangstar (kunywa pombe, au vuta bangi on a regular basis, mfano kila ukitoka job lazima uende home umewaka)...hamna uchawi utafanikiwa coz naturally, mtu anayejielewa/timamu ndo hurogeka kirahisi..so kama ww unalala uko high, mchawi akija kuroga usiku kwa ndoto, ana kuta ufahamu wako/nerves ziko busy na hangover, hazina time yaani

ukitaka kuugua makusudi, yaani mfano mfano malaria...lala halafu umeditate kwamba unaumwa na unahitaji attention km mgonjwa, aisee baada ya 2 hrs nenda kapime uone

ukitaka kuamini kuwa jijini Dar uchawi upo, tembea na hela...uktiembea na hela nyingi let's laki 1 na kuendela, kuna mtu atajua tuuu na ataanza kukutrail hukua akiwaza anazichukuaje bia kukudhuru wala kukukaba, na ukikaa vibaya utaamka subuhi una nauli tuuu...kuna watu wana madawa ya kunotice hela.
 
Back
Top Bottom