Rahma Kisuo na Wanu waliwezaje kuwa Mawaziri?

Hata mtoto wa form four hawezi kujibu maswali kijinga vile!🚮
Anaulizwa maswali ila ukimuangalia vizuri ni km anafanya aptitude test yaan anajibu as if amekaririshwa majibu ukiulizwa hivi jibu hivi hajibu km yeye anavyofahamu kiundani kutoka field unajua mtu anaefahamu kitu kiundaani hajibu jibu tu ili kumfurahisha anaemuuliza au wanaomsikiliza lazima anatumia logic & reasoning au tuseme logical reasoning kwenye kutoa majibu yake kiufasaha
 
Anajibu ilimradi anajibu kama anakomoa, unapojiingiza kwenye mfumo wa kuhudumia raia wako inakubidi kuwa na uwezo fulani wa kutatua changamoto! Hatatui anatoa majibu ya kijinga kama anamkomoa mtangazaji wakati mtangazaji anauliza kwa niaba ya wananchi! Hata ule upeo wa kusema haya maswali ni kwa faida ya wengi hana🤦🏽‍♀️
 
Mkuu, fungu jema ni kuungana na kupigana. Unajidanganya unavyodhani fungu jema ni kukaa kimya. Hili ni fungu la maangamizi ya baadae. Trust me.
 
WAISLAMU NI KAMA WANAWAKE ....KUMPA UONGOZI MUISLAMU NI SAWA NA KUONGOZWA NA MWANAMKE .....
 
Haki za binadamu zimefuatwa.Zuzu naye ni mtu hata kama hana kitu kumutwe!
 
Rahm....a ni sawa na yule mnyama anaitwa Pimbi
 
Sure, sasa kipi kina happen? Ni vilio kila kona, maisha yamekuwa magumu, gap kubwa, ufisadi wa kutisha but wenye kuleta msawazo wameungana nao kukandamiza.
 
Naona na wewe umeamua kukaa kimya kabisa. Au mdomo ushajaa mafuta?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…