Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Na hawakubadiligi kushindwa, lost you are..Akijibu hivyo namnyoshea dole la kati
Na hawakubadiligi kushindwa, lost you are..Akijibu hivyo namnyoshea dole la kati
Basi hata Lissu akija kuwa rais mambo yatakuwa yale yale.Watanzania wenzangu ngoja niwakumbushe ukweli ambao nadhani kila mtu anaujua: Viongozi wa nchi ni reflection ya ya wananchi. Na hapa sizungumzii tu kuwa ''kwa kuwa viongozi wanatoka kwenye jamii, basi ni ''sample'' ya jamii. Hoja yangu ni hii.
Viongozi wa nchi utendaji wao wa kila siku ''hutengenezwa'' na tabia ya wananchi. Yaani viongozi wakifanya boko na wananchi wakikubali na kukaa kimya, basi hujijenga na kuwa tabia ya viongozi wote. NI kama ule msemo usemao kuwa ''ukali wa mbwa, hutegemea msasi (mwindaji). Mwidaji akiwa moto, na mbwa wake nao wanakuwa moto.
Sasa tatizo letu watanzania nikudhani kuwa viongozi wazuri hushuka kutoka mbinguni. Yes, unaweza kupata bahati ya kuwa na kiongozi mmoja au wawili wazuri, lakini kanuni ni kwamba tabia na utendaji wa viongozi hutegemea sana ''ukali'' wa wananchi.
Msidhani nchi zilizoendelea zilipata maendeleo kwa sababu tu Mungu aliwashushia viongozi hodari hapana. Maendeleo na uongozi bora ulitokana na wananchi kujitambua na kuwa wakali na tayari kuhoji pale viongozi wanapoharibu.
Wewe Qengeh njoo hapa city centre tuangalie MarathonBasi hata Lissu akija kuwa rais mambo yatakuwa yale yale.
Lissu peke yake hawezi kuibadilisha Tanzania japo anaweza kuwa ''ule mwanzo'' au chachu inayotakiwa kuamsha wengine wenye maono kama yeye. Ukishakuwa na kiongozi mwenye maono inakuwa tayari ni hatua moja muhimu sana.Basi hata Lissu akija kuwa rais mambo yatakuwa yale yale.
Para#1 upo good.Watanzania wenzangu ngoja niwakumbushe ukweli ambao nadhani kila mtu anaujua: Viongozi wa nchi ni reflection ya ya wananchi. Na hapa sizungumzii tu kuwa ''kwa kuwa viongozi wanatoka kwenye jamii, basi ni ''sample'' ya jamii. Hoja yangu ni hii.
Viongozi wa nchi utendaji wao wa kila siku ''hutengenezwa'' na tabia ya wananchi. Yaani viongozi wakifanya boko na wananchi wakikubali na kukaa kimya, basi hujijenga na kuwa tabia ya viongozi wote. NI kama ule msemo usemao kuwa ''ukali wa mbwa, hutegemea msasi (mwindaji). Mwidaji akiwa moto, na mbwa wake nao wanakuwa moto.
Sasa tatizo letu watanzania nikudhani kuwa viongozi wazuri hushuka kutoka mbinguni. Yes, unaweza kupata bahati ya kuwa na kiongozi mmoja au wawili wazuri, lakini kanuni ni kwamba tabia na utendaji wa viongozi hutegemea sana ''ukali'' wa wananchi.
Msidhani nchi zilizoendelea zilipata maendeleo kwa sababu tu Mungu aliwashushia viongozi hodari hapana. Maendeleo na uongozi bora ulitokana na wananchi kujitambua na kuwa wakali na tayari kuhoji pale viongozi wanapoharibu.
Hao baka baka wenyew wamewekwa pale kwa fadhila za wanasiasa. Wametolewa matopeni na kuveshwa bakabaka 😅. Hii nchi ushubwadaaa 😂😂Uliyosema yote ni sahihi ila tuko katika zama za State Capture. Ni aidha uchague kupotezwa familia yako usiione milele daima ama uchague kukaa kimya.
Watu wameamua kuchagua fungu jema nalo ni kukaa kimya. Haimaanishi kwamba hawaumizwi na maovu yanayofanywa na viongozi ila sasa kama kufungua mdomo kunaweza kugharimu maisha yako unafanyaje? Jeshi la polisi limechagua kusaliti wananchi halikadhalika jeshi la baka baka. Hao wote walitakiwa wahakikishe utulivu na amani nchini na sheria kufuatwa ila wamejizima data.
Hilo tatizo kwa sasa ni kubwa sana mkuu, mm kuna ndugu yangu kiongozi mkubwa tu mstaafu. Nyumbani kwake amezungukwa na watu ambai hata kusense na kufaham matatizo ya jamii na sulubu zake hawajui. Wanawezaj kutatua kama hawana idea na uelewa mpana?Anajibu ilimradi anajibu kama anakomoa, unapojiingiza kwenye mfumo wa kuhudumia raia wako inakubidi kuwa na uwezo fulani wa kutatua changamoto! Hatatui anatoa majibu ya kijinga kama anamkomoa mtangazaji wakati mtangazaji anauliza kwa niaba ya wananchi! Hata ule upeo wa kusema haya maswali ni kwa faida ya wengi hana🤦🏽♀️
Tena sio tu "ukali" bali "collective ukali". Ingawa huko tutafika tu mkuuWatanzania wenzangu ngoja niwakumbushe ukweli ambao nadhani kila mtu anaujua: Viongozi wa nchi ni reflection ya ya wananchi. Na hapa sizungumzii tu kuwa ''kwa kuwa viongozi wanatoka kwenye jamii, basi ni ''sample'' ya jamii. Hoja yangu ni hii.
Viongozi wa nchi utendaji wao wa kila siku ''hutengenezwa'' na tabia ya wananchi. Yaani viongozi wakifanya boko na wananchi wakikubali na kukaa kimya, basi hujijenga na kuwa tabia ya viongozi wote. NI kama ule msemo usemao kuwa ''ukali wa mbwa, hutegemea msasi (mwindaji). Mwidaji akiwa moto, na mbwa wake nao wanakuwa moto.
Sasa tatizo letu watanzania nikudhani kuwa viongozi wazuri hushuka kutoka mbinguni. Yes, unaweza kupata bahati ya kuwa na kiongozi mmoja au wawili wazuri, lakini kanuni ni kwamba tabia na utendaji wa viongozi hutegemea sana ''ukali'' wa wananchi.
Msidhani nchi zilizoendelea zilipata maendeleo kwa sababu tu Mungu aliwashushia viongozi hodari hapana. Maendeleo na uongozi bora ulitokana na wananchi kujitambua na kuwa wakali na tayari kuhoji pale viongozi wanapoharibu.
Mimi mwenyewe nina bibi yangi mbunge mstaafu hata kingwreza kilichonyooka hana! Anakunywa konyagi mpaka kawa chronic mlevi, nilipokuw amdogo unamuona anasinzia tu kwenye tv, kiufupi wanakuwa hawana wanalolijua kuhusu jamii! Wanavyuo wanaishia kusoma mpaka concurrent issues na ukishindwa unarudia somo for what?? Kama wanaopewa jamii kuzihudumia hawawezi!!Hilo tatizo kwa sasa ni kubwa sana mkuu, mm kuna ndugu yangu kiongozi mkubwa tu mstaafu. Nyumbani kwake amezungukwa na watu ambai hata kusense na kufaham matatizo ya jamii na sulubu zake hawajui. Wanawezaj kutatua kama hawana idea na uelewa mpana?
Wala hatatui anajihami yeye binafsi, hapo kusema ajira zipo ila opportunities hakuna, ndio ujinga gani?Maswali anayoulizwa yeye hapo ni coverage ya jamii nzima, majibu anayatoa yeye ni intervetions zinazoishia kutatua tatizo ngazi ya mtu mmoja mmoja
in fact Tanzania hatuna kabisa tatizo, wala changamoto ya ajira.Hii aibu aione chawa mwandamizi Tlaatlaah

Mkuu ni mkishirikiana wote hakuna wa kuwagusa! Hakuna watu waoga kama wanasiasa kama wananchi wanajitambua. Hivi unajua wakitoka watu laki 5 leo na kuvamia ikulu hakuna wa kuwazuia?Para#1 upo good.
Lakini huku mwisho umepuyanga sana.
'Wananchi wawe wakali', emb toa mfano wa raia kufanya ukali kwa kiongozi wake na akabakia salama, hasa kwenye utawala huu wa awamu ya 6?
Kujuana...Tanzania ni nchi ya ajabu sana, Ni kweli kwa ujumla uwaziri nchini kwetu kwa sehemu kubwa huwa ni lazima uwe chawa wa Rais na chama badala ya merits lakini kuna nyakati waziri anakuwa duni mpaka inakuwa ni vituko vya kusikitisha katika nchi.
Mtu kama huyu bonge nyanya Rahma Kisuo ambaye kichwani ni mtupu kabisa amewezaje kuwa mbunge na naibu waziri?! Maajabu hayaishi Tanzania!
Anajua aliye mteua,usijione wewe ndio mkamilifu kila mtu akianza kuhoji umuhimu wa mwenzie duniani haitakuwa sawa Mungu ndie anaejua kwanini bado tunaishiSasa huyo Kisuo wako kafanya nini cha maana kwenye jamii?