Rahma Kisuo na Wanu waliwezaje kuwa Mawaziri?

Tanzania ni nchi ya ajabu sana, Ni kweli kwa ujumla uwaziri nchini kwetu kwa sehemu kubwa huwa ni lazima uwe chawa wa Rais na chama badala ya merits lakini kuna nyakati waziri anakuwa duni mpaka inakuwa ni vituko vya kusikitisha katika nchi.

Mtu kama huyu bonge nyanya Rahma Kisuo ambaye kichwani ni mtupu kabisa amewezaje kuwa mbunge na naibu waziri?! Maajabu hayaishi Tanzania!
View attachment 3674237
Kwani wale wengine kina mwanaFA wamekuwaje mawaziri? Usisahau mpaka Makame Mbarawa Mnyaa ni waziri, siku utamwona ni siku ya kusaini mkataba wa ujenzi ama wa Bandari, Reli, Meli au Uwanja wa ndege. Hii serikali yyte anaweza kuwa waziri vigezo anavyo mama, tena unamwulizia binti yake wa pekee? We kweli hamnazo!
 
H
Watanzania wenzangu ngoja niwakumbushe ukweli ambao nadhani kila mtu anaujua: Viongozi wa nchi ni reflection ya ya wananchi. Na hapa sizungumzii tu kuwa ''kwa kuwa viongozi wanatoka kwenye jamii, basi ni ''sample'' ya jamii. Hoja yangu ni hii. Viongozi wa nchi utendaji wao wa kila siku ''hutengenezwa'' na tabia ya wananchi. Yaani viongozi wakifanya boko na wananchi wakikubali na kukaa kimya, basi hujijenga na kuwa tabia ya viongozi wote. NI kama ule msemo usemao kuwa ''ukali wa mbwa, hutegemea msasi (mwindaji). Mwidaji akiwa moto, na mbwa wake nao wanakuwa moto. Sasa tatizo letu watanzania nikudhani kuwa viongozi wazuri hushuka kutoka mbinguni. Yes, unaweza kupata bahati ya kuwa na kiongozi mmoja au wawili wazuri, lakini kanuni ni kwamba tabia na utendaji wa viongozi hutegemea sana ''ukali'' wa wananchi. Msidhani nchi zilizoendelea zilipata maendeleo kwa sababu tu Mungu aliwashushia viongozi hodari hapana. Maendeleo na uongozi bora ulitokana na wananchi kujitambua na kuwa wakali na tayari kuhoji pale viongozi wanapoharibu.
Hapana, wenzetu kwa nature ni wawajibikaji, ni wachapa kazi, watu km Mao Tsetung, Abraham Lincoln, Mahatma Gandhi na yule wa Malaysia ni kwamba zile jamii ziko makini. Ht Afrika Kusini km siyo wazungu ingekuwa km Tz tu, kwani South wanatuzidi kwa rasilimali gani? We kubali mtu mweusi hawezi kujitawala hata yeye mwenyewe achilia kutawala wengine!
 
Watanzania wenzangu ngoja niwakumbushe ukweli ambao nadhani kila mtu anaujua: Viongozi wa nchi ni reflection ya ya wananchi. Na hapa sizungumzii tu kuwa ''kwa kuwa viongozi wanatoka kwenye jamii, basi ni ''sample'' ya jamii. Hoja yangu ni hii. Viongozi wa nchi utendaji wao wa kila siku ''hutengenezwa'' na tabia ya wananchi. Yaani viongozi wakifanya boko na wananchi wakikubali na kukaa kimya, basi hujijenga na kuwa tabia ya viongozi wote. NI kama ule msemo usemao kuwa ''ukali wa mbwa, hutegemea msasi (mwindaji). Mwidaji akiwa moto, na mbwa wake nao wanakuwa moto. Sasa tatizo letu watanzania nikudhani kuwa viongozi wazuri hushuka kutoka mbinguni. Yes, unaweza kupata bahati ya kuwa na kiongozi mmoja au wawili wazuri, lakini kanuni ni kwamba tabia na utendaji wa viongozi hutegemea sana ''ukali'' wa wananchi. Msidhani nchi zilizoendelea zilipata maendeleo kwa sababu tu Mungu aliwashushia viongozi hodari hapana. Maendeleo na uongozi bora ulitokana na wananchi kujitambua na kuwa wakali na tayari kuhoji pale viongozi wanapoharibu.
💯
 
Tanzania ni nchi ya ajabu sana, Ni kweli kwa ujumla uwaziri nchini kwetu kwa sehemu kubwa huwa ni lazima uwe chawa wa Rais na chama badala ya merits lakini kuna nyakati waziri anakuwa duni mpaka inakuwa ni vituko vya kusikitisha katika nchi.

Mtu kama huyu bonge nyanya Rahma Kisuo ambaye kichwani ni mtupu kabisa amewezaje kuwa mbunge na naibu waziri?! Maajabu hayaishi Tanzania!
View attachment 3674237
Wanatumia akili za wazazi wao.
 
Anajibu ilimradi anajibu kama anakomoa,
Good observation dada, Na kwa taarifa yako kuna watu wamepata vyeo huko CCM kwasababu ya hii tabia ya kujibu kama unakomoa, Ni katabia kanakopigiwa chapuo sana na CCM toka zamani. Na huwa wanasifiana kabisa kwa hilo, Mifano ya wengine wa aina hii ni Mzee makamba Sr, Mzee wasira, Marry Chatanda, Mwigulu Nchemba, Kibajaji.

Kuna mtu unamuona kabisa anajibu kwa kebehi lakini ana point mfano Msukuma Kasheku.

unapojiingiza kwenye mfumo wa kuhudumia raia wako inakubidi kuwa na uwezo fulani wa kutatua changamoto! Hatatui anatoa majibu ya kijinga kama anamkomoa mtangazaji wakati mtangazaji anauliza kwa niaba ya wananchi! Hata ule upeo wa kusema haya maswali ni kwa faida ya wengi hana🤦🏽‍♀️
Muda mrefu sana nimeona issue ya huyu dada na ujinga wake, ila sikuona mtu aliyepoint point ya msingi kama hii.
 
Mi nadhani badala ya kuhangaika nao tuwaache maana hakuna tunachowrza kuwafanya.
mfano hapa hii clip kiuhalisia umempaisha mno yaani cv yake imeingeza huko juu,, hapo kama wewe ni msomi na katika sekta yoyote ile hebu kafanye nao kazi maana hao wanahitaji watu wa kuwafanyia kazi ili waendelee kuwepo hapo na wakija front wanajibu kama hivyo.

Tanzania ukiishi nayo kwa jicho lingine kuna pesa nyingi mnooo ziko nje nje zinahitaji kuliwa
 
Good observation dada, Na kwa taarifa yako kuna watu wamepata vyeo huko CCM kwasababu ya hii tabia ya kujibu kama unakomoa, Ni katabia kanakopigiwa chapuo sana na CCM toka zamani. Na huwa wanasifiana kabisa kwa hilo, Mifano ya wengine wa aina hii ni Mzee makamba Sr, Mzee wasira, Marry Chatanda, Mwigulu Nchemba, Kibajaji.

Kuna mtu unamuona kabisa anajibu kwa kebehi lakini ana point mfano Msukuma Kasheku.
Mtu unafanya kazi za watu,anahisi ofisi ni yake tu mengine hayamuhusu, unajibu kwa mihemko kama unachambana, ukiingia kwenye mambo ya kuhudumia jamii hutakiwi kuwa na majibu ya rejareja toa majibu yanayoleta solution sio kukimbia task unazokutana nazo kwahiyo wanataka tu kula kodi zetu ila kuwajibika hawataki! Washenzi sana hawa!!
Muda mrefu sana nimeona issue ya huyu dada na ujinga wake, ila sikuona mtu aliyepoint point ya msingi kama hii.
Huyu dada ana kaujinga sana kipindi wanapewa hizi nafasi walikuwa wakimya, sasa hivi ana kaubabe fulani hivi kakishamba ni kama ameingia kifamilia ile unakuta mamaako ana ugomvi na majirani zenu basi ukiulizwa kitu unajibu shit like unamkingia mama kifua uonekane we sio mnyonge, so stupid!
 
Back
Top Bottom