Rahma Kisuo na Wanu waliwezaje kuwa Mawaziri?

Kwani wale wengine kina mwanaFA wamekuwaje mawaziri? Usisahau mpaka Makame Mbarawa Mnyaa ni waziri, siku utamwona ni siku ya kusaini mkataba wa ujenzi ama wa Bandari, Reli, Meli au Uwanja wa ndege. Hii serikali yyte anaweza kuwa waziri vigezo anavyo mama, tena unamwulizia binti yake wa pekee? We kweli hamnazo!
 
H Hapana, wenzetu kwa nature ni wawajibikaji, ni wachapa kazi, watu km Mao Tsetung, Abraham Lincoln, Mahatma Gandhi na yule wa Malaysia ni kwamba zile jamii ziko makini. Ht Afrika Kusini km siyo wazungu ingekuwa km Tz tu, kwani South wanatuzidi kwa rasilimali gani? We kubali mtu mweusi hawezi kujitawala hata yeye mwenyewe achilia kutawala wengine!
 
💯
 
Wanatumia akili za wazazi wao.
 
Anajibu ilimradi anajibu kama anakomoa,
Good observation dada, Na kwa taarifa yako kuna watu wamepata vyeo huko CCM kwasababu ya hii tabia ya kujibu kama unakomoa, Ni katabia kanakopigiwa chapuo sana na CCM toka zamani. Na huwa wanasifiana kabisa kwa hilo, Mifano ya wengine wa aina hii ni Mzee makamba Sr, Mzee wasira, Marry Chatanda, Mwigulu Nchemba, Kibajaji.

Kuna mtu unamuona kabisa anajibu kwa kebehi lakini ana point mfano Msukuma Kasheku.

Muda mrefu sana nimeona issue ya huyu dada na ujinga wake, ila sikuona mtu aliyepoint point ya msingi kama hii.
 
Mi nadhani badala ya kuhangaika nao tuwaache maana hakuna tunachowrza kuwafanya.
mfano hapa hii clip kiuhalisia umempaisha mno yaani cv yake imeingeza huko juu,, hapo kama wewe ni msomi na katika sekta yoyote ile hebu kafanye nao kazi maana hao wanahitaji watu wa kuwafanyia kazi ili waendelee kuwepo hapo na wakija front wanajibu kama hivyo.

Tanzania ukiishi nayo kwa jicho lingine kuna pesa nyingi mnooo ziko nje nje zinahitaji kuliwa
 
Mtu unafanya kazi za watu,anahisi ofisi ni yake tu mengine hayamuhusu, unajibu kwa mihemko kama unachambana, ukiingia kwenye mambo ya kuhudumia jamii hutakiwi kuwa na majibu ya rejareja toa majibu yanayoleta solution sio kukimbia task unazokutana nazo kwahiyo wanataka tu kula kodi zetu ila kuwajibika hawataki! Washenzi sana hawa!!
Muda mrefu sana nimeona issue ya huyu dada na ujinga wake, ila sikuona mtu aliyepoint point ya msingi kama hii.
Huyu dada ana kaujinga sana kipindi wanapewa hizi nafasi walikuwa wakimya, sasa hivi ana kaubabe fulani hivi kakishamba ni kama ameingia kifamilia ile unakuta mamaako ana ugomvi na majirani zenu basi ukiulizwa kitu unajibu shit like unamkingia mama kifua uonekane we sio mnyonge, so stupid!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…