Rahma Kisuo na Wanu waliwezaje kuwa Mawaziri?

Basi hata Lissu akija kuwa rais mambo yatakuwa yale yale.
 
Para#1 upo good.

Lakini huku mwisho umepuyanga sana.
'Wananchi wawe wakali', emb toa mfano wa raia kufanya ukali kwa kiongozi wake na akabakia salama, hasa kwenye utawala huu wa awamu ya 6?
 
Kwa viwango halisia vya Tanzania ya sasa, huyo ni bonge la kiongozi.

Kabla hujazidi kupoteza muda wako kuendelea kumshangaa, tulia vizuri ujiulize mwenyewe (usituambie), hao unaoona wanafaa, wanamzidi kipi hasa katika mazingira yaliyopo?
 
Hao baka baka wenyew wamewekwa pale kwa fadhila za wanasiasa. Wametolewa matopeni na kuveshwa bakabaka 😅. Hii nchi ushubwadaaa 😂😂
 
Hilo tatizo kwa sasa ni kubwa sana mkuu, mm kuna ndugu yangu kiongozi mkubwa tu mstaafu. Nyumbani kwake amezungukwa na watu ambai hata kusense na kufaham matatizo ya jamii na sulubu zake hawajui. Wanawezaj kutatua kama hawana idea na uelewa mpana?

Maswali anayoulizwa yeye hapo ni coverage ya jamii nzima, majibu anayatoa yeye ni intervetions zinazoishia kutatua tatizo ngazi ya mtu mmoja mmoja
 
Tena sio tu "ukali" bali "collective ukali". Ingawa huko tutafika tu mkuu
 
Hilo tatizo kwa sasa ni kubwa sana mkuu, mm kuna ndugu yangu kiongozi mkubwa tu mstaafu. Nyumbani kwake amezungukwa na watu ambai hata kusense na kufaham matatizo ya jamii na sulubu zake hawajui. Wanawezaj kutatua kama hawana idea na uelewa mpana?
Mimi mwenyewe nina bibi yangi mbunge mstaafu hata kingwreza kilichonyooka hana! Anakunywa konyagi mpaka kawa chronic mlevi, nilipokuw amdogo unamuona anasinzia tu kwenye tv, kiufupi wanakuwa hawana wanalolijua kuhusu jamii! Wanavyuo wanaishia kusoma mpaka concurrent issues na ukishindwa unarudia somo for what?? Kama wanaopewa jamii kuzihudumia hawawezi!!
Maswali anayoulizwa yeye hapo ni coverage ya jamii nzima, majibu anayatoa yeye ni intervetions zinazoishia kutatua tatizo ngazi ya mtu mmoja mmoja
Wala hatatui anajihami yeye binafsi, hapo kusema ajira zipo ila opportunities hakuna, ndio ujinga gani?
 
Hii aibu aione chawa mwandamizi Tlaatlaah
in fact Tanzania hatuna kabisa tatizo, wala changamoto ya ajira.

tuna ajira za kutosha waTanzania wote zaidi ya milioni 60, kwenye kilimo pekeyake, bila kugusa maeneo mengine ya kimkakati ambayo nayo ajira ni bwerere tu.
Ni kweli kabisa ipo changamoto kidogo kwenye suala la mindsets ambayo wizara za kisekta zinashughulika nayo na taratibu inapungua.

hata hivyo,
kua tajiri au maskini Tanzania ni uamuzi wako binafsi.
 
Para#1 upo good.

Lakini huku mwisho umepuyanga sana.
'Wananchi wawe wakali', emb toa mfano wa raia kufanya ukali kwa kiongozi wake na akabakia salama, hasa kwenye utawala huu wa awamu ya 6?
Mkuu ni mkishirikiana wote hakuna wa kuwagusa! Hakuna watu waoga kama wanasiasa kama wananchi wanajitambua. Hivi unajua wakitoka watu laki 5 leo na kuvamia ikulu hakuna wa kuwazuia?
 
Kujuana...
 
Si ndio makada wa chxura kiziwi hawa..

Utawaambia nini? Issue ni kuwa watz umeshafikia hatua ya kufurahia ujinga wa namna hii.

Sio kwamba tunapenda ila nimeshakuwa trendi, hapo kuna watu wanaona kawaida tu.

Ila ndo hivyo, tuna mawaziri ambao ni dumb heads na wanaiendesha hii nchi kwa ujinga tu na mihemko..
Fano humu jf, watu hawana utulivu wa kifikra unaweza kuuliza hayo hayo maswali kwa member na ukajibiwa shombo.

Nakubalina na jamaa aliyesema huyo dads ni reflection ya watanzania wote kwa ujumla
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…