Hili jambo ni changamoto kuu,Watanzania wenzangu ngoja niwakumbushe ukweli ambao nadhani kila mtu anaujua: Viongozi wa nchi ni reflection ya ya wananchi. Na hapa sizungumzii tu kuwa ''kwa kuwa viongozi wanatoka kwenye jamii, basi ni ''sample'' ya jamii. Hoja yangu ni hii.
Viongozi wa nchi utendaji wao wa kila siku ''hutengenezwa'' na tabia ya wananchi. Yaani viongozi wakifanya boko na wananchi wakikubali na kukaa kimya, basi hujijenga na kuwa tabia ya viongozi wote. NI kama ule msemo usemao kuwa ''ukali wa mbwa, hutegemea msasi (mwindaji). Mwidaji akiwa moto, na mbwa wake nao wanakuwa moto.
Sasa tatizo letu watanzania nikudhani kuwa viongozi wazuri hushuka kutoka mbinguni. Yes, unaweza kupata bahati ya kuwa na kiongozi mmoja au wawili wazuri, lakini kanuni ni kwamba tabia na utendaji wa viongozi hutegemea sana ''ukali'' wa wananchi.
Msidhani nchi zilizoendelea zilipata maendeleo kwa sababu tu Mungu aliwashushia viongozi hodari hapana. Maendeleo na uongozi bora ulitokana na wananchi kujitambua na kuwa wakali na tayari kuhoji pale viongozi wanapoharibu.
Mbona kasoma vizuri tu? On paperHuyo Rahma ni kilaza hatari.kuna paper tulipiga nae pale Gaming board of Tanzania akalamba 6%.inasemekana ni mpwa wa Samia
Ninajua, lakini sumu ya divide & rule ilishawakolea raia.Mkuu ni mkishirikiana wote hakuna wa kuwagusa! Hakuna watu waoga kama wanasiasa kama wananchi wanajitambua. Hivi unajua wakitoka watu laki 5 leo na kuvamia ikulu hakuna wa kuwazuia?
Yaani inasikitisha sana ,hajui tatizo la ajira linasababishwa na nini na yeye hata hajui aliwezaje kukaa benchi miaka 7 bila ajira na hajui mtaji alipata wapi.Tanzania ni nchi ya ajabu sana, Ni kweli kwa ujumla uwaziri nchini kwetu kwa sehemu kubwa huwa ni lazima uwe chawa wa Rais na chama badala ya merits lakini kuna nyakati waziri anakuwa duni mpaka inakuwa ni vituko vya kusikitisha katika nchi.
Mtu kama huyu bonge nyanya Rahma Kisuo ambaye kichwani ni mtupu kabisa amewezaje kuwa mbunge na naibu waziri?! Maajabu hayaishi Tanzania!
Hio ni nafasi ya uteuzi wa utumishi wa umma. Mtu anapaswa kuteuliwa kwa uwezo na kwa mujibu wa katiba hivyo raia kuhoji uwezo wa mtumishi wa umma ni haki ya kimsingi na kikatiba.Anajua aliye mteua,usijione wewe ndio mkamilifu kila mtu akianza kuhoji umuhimu wa mwenzie duniani haitakuwa sawa Mungu ndie anaejua kwanini bado tunaishi
Huyo haha hoji bali amekashifu utu wa mwenzieHio ni nafasi ya uteuzi wa utumishi wa umma. Mtu anapaswa kuteuliwa kwa uwezo na kwa mujibu wa katiba hivyo raia kuhoji uwezo wa mtumishi wa umma ni haki ya kimsingi na kikatiba.
NonsenseWhat a stupid take!
Ndo akalamba uwaziri.hahahaNdiye huyo