Rai yangu kwa watanzania tujichukulie sheria mkononi.

Rai yangu kwa watanzania tujichukulie sheria mkononi.

Subira the princess

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2018
Posts
3,474
Reaction score
3,744
Wasalaam

Kufuatia kuwapo kwa makundi ya panya road yaliyokatakata raia kwa mapanga na kupora mali zao kisha kuwabaka wanawake, wito wangu kwa watanzania wanaovamiwa wajibu mapigo kwa silaha zozote walizonazo hata ikibidi watangaze vita na hawa vibaka. Tupambane panya road akishikwa tumtie kiberiti tumwekee mashada ya matairi.

Over.
 
Hao watoto wanajulikana mpaka makwao, cha msingi ni polisi kukamata nyumba hadi nyumba la sivyo mtaendelea kubakwa wakuu.
 
Wapate vipigo vya hapa na pale huenda wakaacha.
 
Wanipe ukuu wa mkoa kwa mwez mmoja tu...nahakika hayo magroup yakipuuzi yatakwisha within the short time[emoji23].

Haiwezekan serkali inaooteza kodi kuwalipa wapuuzi wanaojiita polisi alafu hawafanyi kazi zao zaidi ya kubambika kesi na kupora mali za wasio na hatia.

Haya majeshi ya polis hapa nchini hayafanyi kazi bila kushurutishwa ama mpka tukio litendeke.

Rais mwenyewe ndio huyo tena badala ya kukemea kivitendo yeye anawaomba waache?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wasalaam

Kufuatia kuwapo kwa makundi ya panya road yaliyokatakata raia kwa mapanga na kupora mali zao kisha kuwabaka wanawake, wito wangu kwa watanzania wanaovamiwa wajibu mapigo kwa silaha zozote walizonazo hata ikibidi watangaze vita na hawa vibaka. Tupambane panya road akishikwa tumtie kiberiti tumwekee mashada ya matairi.

Over.
Huu ndio uzi wa kwanza wa maana sana tangu mwaka huu uanze , shukrani sana
 
Unaongelea watu gani wajibu mashambulizi kwa silaha watu wa Dar ama?

Hao panya wanao watishia usalama hapo Dsm wakija huku kwetu Musoma, Mwanza, shinyanga na Geita tunawakaanga mchana kweupe moja baada ya mwingine.

Ila kwa hao wanaume wa dar wa kulala uchi kisa joto, tegemea kuendelea kulia lia tu kila siku kisa vitoto vilivyo feli lanne B.
 
Wasalaam

Kufuatia kuwapo kwa makundi ya panya road yaliyokatakata raia kwa mapanga na kupora mali zao kisha kuwabaka wanawake, wito wangu kwa watanzania wanaovamiwa wajibu mapigo kwa silaha zozote walizonazo hata ikibidi watangaze vita na hawa vibaka. Tupambane panya road akishikwa tumtie kiberiti tumwekee mashada ya matairi.

Over.
Hao panya wako imara kuliko unavyo dhani. Hakuna anayekatwa panga na mke wake kubakwa mbele yake akaridhika. Unapoona hii hali maana yake wao ni zaidi ya ulinzi wa Taifa. Polisi na vyombo vya ulinzi vimesheheni Dar lakini ndiyo sehem wanawake wanabakwa. Hivi karibuni kijana mwenye ulenavu wa ngozi kakatwa panga, sidhani kama kwa sasa Nchi hii raia wako salama. Labda viongozi wa juu wa nchi hii ndiyo walio salama kwa kuwa wana ulinzi kijamii na kiuchumi.
 
Back
Top Bottom