Kobello
JF-Expert Member
- Feb 20, 2011
- 8,967
- 8,547
Hamna kitu, ni kuamua tu.Hao panya wako imara kuliko unavyo dhani. Hakuna anayekatwa panga na mke wake kubakwa mbele yake akaridhika. Unapoona hii hali maana yake wao ni zaidi ya ulinzi wa Taifa. Polisi na vyombo vya ulinzi vimesheheni Dar lakini ndiyo sehem wanawake wanabakwa. Hivi karibuni kijana mwenye ulenavu wa ngozi kakatwa panga, sidhani kama kwa sasa Nchi hii raia wako salama. Labda viongozi wa juu wa nchi hii ndiyo walio salama kwa kuwa wana ulinzi kijamii na kiuchumi.