Raia amshauri Rais Samia asiongeze mishahara

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
122,494
Reaction score
96,074
Huyu mtu naona katumwa siyo bure kabisa.

Anasema kama mzalendo anamshauri Rais asiongeze mishahara ili fedha hizo zikatatatue kero za mafuriko na kwenye uchaguzi WA serikali za mitaa.

Huyu ametumwa namuona kama Yule muuza jogoo wa pale kulwa na Yule muuza mahindi wa pale Dumila

Your browser is not able to display this video.
 
lazima watumishi wa uma muongezewe mishahara hiyo tarehe mosi kama kuwasahaulisha. kwenye uchaguzi mkuu hapo mwakani
 
Ukiacha hizo siasa za huyo jamaa... watumishi wa uma waukweli ukweli hawana matumaini na Sa 100.
 
Mhh, anatikisa kiberiti
 
Hawa ndiyo walipaswa wapewe adhabu kali pamoja na kuingiliwa kinyume cha maumbile yao . Watumishi wanataka fedha waboreshe maisha yao.
Suala la kuchati halihusiani na mshahara.
Kama kuchati kazini ni kosa basi kosa hilo lishughulikiwe kwa mujibu wa Sheria
 
Huyu ni kipenyo anaekaribia kustaafu.

Mei mosi imepoa sana. Nika kama watumishi wameisusia kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…