Raia amshauri Rais Samia asiongeze mishahara

Anamatatizo huyu mtu, wananchi wanahitaji kila senti kutoka serikalini, Ukizingatia viongozi wanajiongezea maslahi kila siku, mishahara yao wanajipandishia kila siku na hawafanyi kazi yoyote, kwanini wananchi wasiongezewe mishahara.
Ikiwa tunahitaji kujinyima waanze viongozi wenye mishahara mikubwa, posho kubwa za vikao, na magari ya bure ,nyumba za bure.
 
Huyu atakuwa chawa wa CCM; ametangulizwa kuchafua hali ya hewa. MiCCM ni miquma sana.
 
Kwa upande fulani, mimi kama mwananchi wa kawaida na mtu ambaye huduma nyingi huwa nazipata kutoka kwenye maofis ya umma, ukweli kabisa wafanya kazi wanapohitaji kuongezewa mshahara, walau nao wawe wameweza kuishawishi serikali kwa kutendea haki taaluma zao

Sasa huko maofisini, huduma zinazotolewa na wafanyakazi ni za hovyo, rushwa, manyanyaso, utadaije kuongezewa mshahara kwa namna hiyo?

Ila kama ni majanga, hayajawahi kuisha
 
Anaweza kuwa ameshauriwa hata na Chadema Ili wapate hoja ya maandamano!😎😎😎😎
 
Bora angegusia na ununuzi wa magari ya kifahari kwani yapo maeneo mengi yangebanwa matumizi na kupeleka kwenye majanga na sio mishahara.

Wangepunguza posho za wabunge Kwa mwaka 1 ili pesa iende ikasaidie wapiga kura wao.!
Kumgusa mtumishi sio haki maana mishahara yenyewe midogo sana.

Wamepiga mshono wa bima za afya na bado wanaona mtumishi anahema wakapiga kwenye kikokotoo, haitoshi inatakiwa mishahara isiongezwe. Hatari.!
 
Siyo yule muuza madafu kweli?
 
Huyu chawa wa SAKINAA hahahaha Mwalimu !!!
 
Yupo sahii, na wabunge , makatibu wakuu ,n.k wapunguziwe mishahara yao ,mpumbavu
 
MIAKA 60 BADO TUNAWAZA MIONDOMBINU KWELI CCM NI CHAKA LA WAPIGAJI
 
Hivi huyo ni mfanyakazi kweli?
Huyo kwa muonekano hayuko kwenye kundi la wafanyakazi

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…