Raia milioni moja wa Iran wabadili dini na kuwa wakristo

◄ 2 Corinthians 4:4 ►
Audio Crossref Comment Greek
Verse (Click for Chapter)
New International Version
The god of this age has blinded the minds of unbelievers, so that they cannot see the light of the gospel that displays the glory of Christ, who is the image of God.
Bibilia inasema Mungu kawapofua akili wasio amini hizo bibilia zenu hahaha

Sa swali walio ziamini afu wakazikimbia na wao vipi. Afu huyo ni Mungu au ni Shetani ndio anapofua akili ili wasiamini, sidhani kama Mungu, huyo ni shetani tu.
Ulipo andika tu The god unatakiwa uelewe hao ni miungu ya duniani ila ulipoandika kwa herufi kubwa ndio Mungu haswa.. jifunze hapo elimu tunapeana tu mtaani dot com... kachimbuke dini yetu haina cha kuficha.. ni for all na inapendeka ukimaliza tu kusoma bible
 
Sawa sawa Bible said God and Satan are the same vipi hapo?

Yesu anaitwa simba na Shetani anaitwa simba kwenye bibilia zenu. Yesu anaitwa morning star na Shetani pia anaitwa Morning Star?
In Isaiah 14:12, Satan is referred to the Morning Star whilst Jesus is referred to it in the book of Revelation 22:16 why is this?

Matthew 4:1 where "the devil" is named, here Jesus refers to the devil as Satan.

Bibilia zenu ni hatari sana 😄
 
Hii issue nishafundisha humu inaonesha unatega sana darasani.. haya kusanya waislam wenzio wote ili msije changanyikiwa siku za usoni.

When you say Simba mean the Great Leader so ni msemo.. its kama Nyie Mnamuita Allah ni Mungu mkimchukulia kama mwenye uwezo wa kila kitu...

So kuitwa jina la Cheo haimaanishi unauwezo huo husika..
Jesus kuitwa Simba ni Great leader and proof zipo.
Shetani kumuita Simba in leadership amejitahidi kwani amepenya kila kona even wewe ni muongo muongo na anayekuongoza ni ni Iblis.

Allah mnamuita Mungu mwenye uwezo ila hana huo uwezo, hata kuwa na mtoto nyie wenyewe mnasema hana mtoto wakati wenye dini yao ya ALLAH kina Abdullah baba yake Mtumwe wenu Allah ana mabinti watatu Al uzza,Manat na Al lat.. na Allah alikataa wasiabudiwe sababu ni Wanawake.. So Yeyote anaweza kujiita cheo hamna wa kumzuia ila inakuwa sio kweli.

Jesus kujiita Morning Star ni Cheo hicho au Sifa due uweo anao Same na Nchimbi alipewa ubalozi sehemu so atabaki kuwa Balozi tu ni cheo.. tizama kama Nyie Mtu akienda Hija ataitwa Alhaji hadi kifo chake.. so hata kama Shetan Lucifer alikuwa ana cheo kikubwa mbinguni na Duniani na akapoteza hivyo vyeo mwenye kumpa akavichukua mwenyewe.. we have no problems hata ukichukulia kufananisha for vyeo only ila sio kusema kuwa ni same person.

Nyie si mnaamini kuwa Iblis mwanzo alikuwa Malaika kisha baadae ndio akawa Jini?
Sisi tunaamini Shetani alikuwa kiongozi mkubwa Mbinguni akaasi then akaloose everthing, and akatupwa Duniani kufanya atakalo but Mungu akatupatia freewill tuchague mazuri then akamtuma Mwanae mpendwa tumuamini ili tusipotee God with Us.

Elimu hii iwafikie wote
 
Story nyingi hivi kwenye bibilia zenu hamjui hata bibilia zenu Suleiman pia ni mtoto wa Mungu na Mungu pia. Sa mna miungu mingapi nyie wakristo na watoto wa Mungu wa ngapi 😄

Katika 1 Mambo ya Nyakati, Mungu anamwita Suleimani Mwana wake. Katika Zaburi ya 45, mfalme hata anaitwa “Mungu"

Kuhusu baba yake Mtume Muhammad anaitwa Abdillah sio Allah.

We kichaa kweli.
 
Biblia ni Elimu kubwa na ukiisoma yote unakuwa mtu mwema.. ila ukisoma Quran unaharibikiwa
Bibilia ni uwongo mwingi mnajichanganya sana. Mara Yesu Mtume. Mara ni holy spirit. Mara ni Mungu, Mara ni mtoto wa Mungu. Mara kafaa, mara kafufuka sa yuko wapi tukumuone kama kafufuka si alikuja duniani, sa kafufukia wapi? Hata mimi mbinguni tafufuka pia na wewe utafufuka. Cha ajabu nini hapa, mimi nataka unionyeshe Yesu yuko hai hapa duniani kama kweli kafufuka we unaniletea story za mtu alikuja duniani afu kisha kufa unasema alifufuka ulimuona kafufuka 😄.
 
Wakuu
Serikali ya kiislam ya mapinduzi ya iran haina muda mrefu kwa kua wengi wao hawaamini tena katika dini ya kiislam.

Wairan kama mnavyojua ni watu wenye Akili sana.Kwao kuendeshwa kwa kulazimishwa kuvaa hijabu,kufuata sheria za kidini ambazo wengi hawaziamini ni kiu kigumu.
Kifupi wairan ni kama wazungu hawatak kuamini katika nadharia za kidini .

Na pili wengi wao saizi hawaswali na mamilioni wanabadili dini kwenda kwene ukristu.

Kongole kwenu wairan

View: https://youtu.be/0gYVbK4kP2A?si=A4a5n2G-7pHIXk4e

Ngoja waje mashetani wa Kibongo kupinga na kubisha hili wakiongozwa na malaika mkuu wa shetani mwenyewe FaizaFoxy
 
Back
Top Bottom