Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
-
- #21
Kwa hili upo sahihi. Tupo pamoja. Hakuna haja ya vijana kujipa kazi ambazo sio zao kwa lengo la kutaka kupata misifa pasipo kujua kuwa wanaweza kuhatarisha maisha yao...hakuna haja ya vijana kujinasibu na usalama kwa kudhani kuwa wataonekana matawi na mpunga wa nguvu.
Samahani kama nimekukwaza mkuu.Sio sahihi kumuita mtu njaa ilhali hajawahi kuja kuomba msaada wa chakula nyumbani kwako.
Heshimu binadamu wenzako...
Wanafurahia jambo baya sana mkuu sema wao wenyewe hawajui tu.vijana wa mtaani wanafurahi kufananishwa na maafisa upelelezi/TISS nk
wahusika[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1574230
Hapana mkuu. Mimi sio mtu wa usalama. Mimi ni kijana wa kawaida sana. Siku moja tutaonana ukipenda.Pengine wewe ni katika wao.
Yah mkuu.Kwa hili upo sahihi. Tupo pamoja. Hakuna haja ya vijana kujipa kazi ambazo sio zao kwa lengo la kutaka kupata misifa pasipo kujua kuwa wanaweza kuhatarisha maisha yao...
Panya road iliwahi kuitiwa usalama wa taifa?Unawaita njaa tupu wakati panya road walivyoibuka mkawa mnaomba msaada wao?
Acha kukejeli kazi za watu.
Okey mkuu.Hapana mkuu. Mimi sio mtu wa usalama. Mimi ni kijana wa kawaida sana. Siku moja tutaonana ukipenda.
Ninakataa kumuita mtu njaa kwa sababu la kulinda hadhi na utu wa mwingine.
Sio vyema kudhalilisha kada zingine/binadamu wengine...
Na Mimi nitawaakumbusha huku uraiani mkuu.Upo sahihi sana mkuu.
Mimi hii trend nilianza kuiona muda mrefu sana mkuu, hususan kwa ndugu, jamaa na rafiki zangu ninaokutana nao mara kwa mara.
Unakuta mtu amenyoa kichwani kama askari (Crew Cut) kisha mustache amenyoa kama Police, alafu amechomekea mkanda nje kama boss fulani hivi na kuanza kuwadanganya watu kuwa yupo kwenye system.
Niliwahi kuwaambia kuwa hii ni hatari sana kwa maisha yao na wasidhanie kuwa ni sifa nzuri hata kidogo.
Sawa ndugu yangu. Hii ndio maana ya kuwa na JF. Tunatofautiana kisha tunapatana na maisha yanaendelea. One love brother.Okey mkuu.
Bila shaka umeelewa makusudio yangu.
Sikusema kudhalilisha.
Nimesema kuwafananisha na wengine ili waone kuwa ni kazi kama zingine tu.
Wala sijakusudia kukejeli mkuu
Pamoja nduguSawa ndugu yangu. Hii ndio maana ya kuwa na JF. Tunatofautiana kisha tunapatana na maisha yanaendelea. One love brother.
Utakuwa umewasaidia sana mkuu.Na Mimi nitawaakumbusha huku uraiani mkuu.
TISS, Police, TPDF wote ni watu wa usalama wanaofanya kazi kwa mipaka pamoja na kushirikiana. They, sometimes, share intelligence, usually at top levels.Kwanza askari polisi wanakuwa wapi mpaka hii kesi iwe ya usalama wa taifa.
Poa bro.Pamoja ndugu
Police nao pia ni usalama wa taifa kwa maana wanalilinda taifa/nchi.Panya road iliwahi kuitiwa usalama wa taifa?
Hii ndio sahihi mkuu. Endelea kukataa...Mimi binafsi sipendi kufananishwa nao
Ikiwezekana kawashtaki hata Police hao wanaokufananisha kuwa wanataka kuhatarisha usalama wako binafsi...Mimi binafsi sipendi kufananishwa nao ila ishanitokea mtaani kwangu ninakoishi nakila ninavyo jaribu kukana ndio wadau wanazid kuamin naficha my cover
Panya road iliwahi kuitiwa usalama wa taifa?
Hawa panya road si ni kitendo cha kumpa gongo mjumbe akataja wahuni wote maana wanajulikana kabisa. Kwanza askari polisi wanakuwa wapi mpaka hii kesi iwe ya usalama wa taifa.
Mbowe atimuliwa jukwaani na wanachadema huko hai! Hawamtaki.